ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Acha ubahili unganisha magari hata ukikosa ya moja kwa moja ila yapo
Sijui ni mpare huyu..kila kitu anaichungulia sana hela yake atakuwa hatoboiDuh! aisee ukombozi ni muhimu sana vijana, ikiwa nauli ya Daladala
Tunajadili kiasi hiki ujue hali sio shwari mtaani!!!
Kakwambia nani WEMA SEPETU HAJAPITIA MAISHA YA KUVAA KANDA MBILIGuyzi situmesema JF members wote Wana magari binafsi
Hapana, ukifika Mbagara utapanda gari lolote linaloenda uelekeo wa Mkuranga na utawaambia unashukia Mwandege!Mbezi Kwa magufuli mkuu na nauliza ukipanda hayo ni Moja Kwa moja mpaka mwandege au Kuna gari lingine unapswa upande