Wakuu, hivi kuna magari ya kutoka Mbezi mpaka Mbagala moja Kwa moja?

Mbezi Kwa magufuli mkuu na nauliza ukipanda hayo ni Moja Kwa moja mpaka mwandege au Kuna gari lingine unapswa upande
Hapana, ukifika Mbagara utapanda gari lolote linaloenda uelekeo wa Mkuranga na utawaambia unashukia Mwandege!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…