Wakuu hivi rafiki akifa ndani kwako Sheria inasemaje kuhusu hilo?


Hapo inakuwa ni msala na nusu kiongozi...!
 
Sheria haimtambui rafiki bali inamtambua marehemu

Chai haiwi chai mpaka iwekwe majani ya chai kwenye maji, rafiki akifa tayari anakuwa ni marehemu, sasa sheria inasemaje juu ya hilo kiongozi...!??
 
Chai haiwi chai mpaka iwekwe majani ya chai kwenye maji, rafiki akifa tayari anakuwa ni marehemu, sasa sheria inasemaje juu ya hilo kiongozi...!??
Hapa sio uhusiano wako na marehemu bali ni chanzo ama asili ya kifo...mara nyingi report ya Dr. ndio inaweza kukuokoa ama kukuangamiza...
Kwenye uchunguzi wa kipolisi mazingira alipofia marehemu ndio yatajumuisha mahusiano

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Afu mm naonaga vigogo na masuperstar kwa nchi zetu hizi, vitu kama hivi ningumu sana kuingia kwenye msala
 
Ila itaonekana kuwa wewe ndio ulikuwa wa mwisho kuwaailiana nae mkuu...!
Ni kweli, kama aliandika "Oya nakuja kulala kwako" jibu langu obvious litakuwa "fresh, karibu sana". Baada ya hapo si aliendelea kuwasiliana na watu wengine kabla ya kulala na kujifia zake.
 
Sio lazima afie ndani kwako ndo ushikiliwe kusubir upelelezi. Hata angefia kwao, ukitiliwa mashaka unakamatwa as well kama vile kafia kwako. Na anaweza akifia kwako wakakamatea majirani
Usibadilishe uhalisia wa mada. Jikite kwenye mada husika, usicomplicate mambo.
 
Watajua nilichat nae, hawatajua tulichokua tunachat... kuna loophole hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…