Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Umemuua nani kijana, sema tu hatuji kukukamata.Heshima kwenu wakuu.
Naomba twende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Tuchukulie nina rafiki yangu amelala ndani kwangu then ikatokea bahati mbaya akafa akiwa usingizini, sheria inasemaje kuhusiana na hilo wakuu?
Naombeni muongozo tafadhali. Thanks.
Point ya msingi hiiKikubwa ni kumuomba MUNGU kila siku akuepusha na majaribu ya namna hiyo..
Tukio kama hilo likikutokea kimbiza maiti hospitali wao ndo wakueleze kuwa amekufa maana wewe huna vipimo vya kuhitimisha umauti. Mengine yatafuata baada ya kuambiwa kuwa amekwishakufa na wewe ukalia kwa kujitupa tupa ardhini. Unaweza kuepuka usumbufu mwingi sana kwa hako kaigizo.
Na pia historia ya huyo mtu, kama alikuwa na udhaifu wowoteTunakuacha uteseke
Vyovyote itakavyokua, lazima uingie misukosuko. Vipimo vya kitaalam na ushahidi wa mazingira ya sababu za kifo ndio vitakunasua au kukupunguzia kadhia.
[emoji1787][emoji1787]Huyo rafiki yako tayari kafia ghetto kwako au umeamua tu kuulizia
Na kanuni ya Jeshi la Police ni: "Don't trust any body" Hivyo nadhani unaelewa maana yake.Utatoa Ripoti kwa Viongozi wa Eneo Lako Then Wao Watakusaidia Kutoa Taarifa Polisi, watakuja kufanya upelelezi wao then Watampeleka Hospital Kufanyiwa Uchunguzi wa Kisayansi na Madaktari.
Ila Kumbuka Suspect wa Kwanza Ni Wewe
Hivyo Utasaidia Zoezi la Upelelezi Kukamilika.
Itakuwa Usumbufu Kidogo Itakubidi Kuvumilia.
Pia Tunakuaga na Tendency ya Kukaribisha Wageni Bila Kutoa Taarifa kwa Viongozi wa Mtaa, Au Kuhama Mtaa Flani Bila Kutoa Taarifa.
Umuhimu wa Kutoa Taarifa ndio Utauona Tukio Kama Hill Likitokea.
Wajuvi Zaidi Nawasubiri Nami Najifunza.
Hivi kwa mfano kama huyo mtu akawa njiani huko alikula kitu kisichofaa (poison) na safari yake ya mwisho ndio akaja "ghetto " na akarudisha namba. Uchunguzi ukionesha kuna viambata hatarishi mwilini mwake, je hali itakuwaje kwa mwenyeji?
NB: siku hizi watu wanabugia tu vitu hovyo hovyo barabarani, mara madawa ya asili, mara supu+juice na dawa nyinginezo na vinywaji nishati. Vitu hivi ni hatari sana kwa afya na vikimuondoa mtu lazima viache trace tatanishi.
Hata kama hutafugwa, angalau utakaa Keko miaka miwili hiviHapo unafungwa tu
Hamna jinsi
Ila nako si kufungwa mpendwa..!!?Hata kama hutafugwa, angalau utakaa Keko miaka miwili hivi
Mtuhumiwa!Ila nako si kufungwa mpendwa..!!?
ππππ Ila Kuna comments humu dah!!!
Fingerprint watachukua watapata namba ya NIDA,TCRA wataona wewe ndo mtu wa mwisho kuwasiliana nae.Hivyo utakuwa umemua ndo maana umekimbia.Kama umekamatia Dem akafa lodge au hotel,we sepa tu,Tena potea kabisa,Kama Ana smatifone chukua katupe chooni.
Sheria sometime inatia hasiraChukua hiyo maiti ukaitupe mtoni kabla haijaanza kutoa harufu. Utakuja kunishukuru
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo??Chukua hiyo maiti ukaitupe mtoni kabla haijaanza kutoa harufu. Utakuja kunishukuru