Wakuu hivi rafiki akifa ndani kwako Sheria inasemaje kuhusu hilo?

Chukua hiyo maiti ukaitupe mtoni kabla haijaanza kutoa harufu. Utakuja kunishukuru

Chukulia kuwa mtu mwenyewe labda ni bonge, halafu hakuna gari na hakuna mto hapo karibu na unapoishi inakuaje hapo mkuu...?
 
huu ndo bonge la ushauri nmejikuta nmecheka sana walah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haina tatizo lolote,wewe cha kufanya ni kuripoti polisi fasta na uhakikishe kuwa unatoa ushirikiano mkubwa kwa jeshi la polisi
 

Mkuu ina maana jamaa kawekwa ndani kisa mtu kakutwa nje ya nyumba yake kafa...?
 
huenda mleta mda akawa ni askari au kuna information anataka kuipata kwa mtu fulani au sisi kama raia juu ya nadharia kama hii hongera kwa hilo kwani umejipatia information za kutosha but hainizuii na mimi kutoa wazo langu juu ya hil.

kwanza kwa yeyote huwezi kujinasua juu ya nadharia hii au tukio hili endapo litakutokea ukiwa nyumbani au hata gest.Matukio kama haya yalishatokea sana kwenye magest kiasi cha kufanya gesti nyingi kufungwa hidden camera. kwa maana ukisema uchukue mwili wake ukautupe mtoni au sehemu tofauti kumbuka hapo ndipo utakapo hesabiwa kama muuaji rasmi hata kama hukumuua

sababu mwili wa marehemu ni lazma utakuwa na prints zako za mkono(fingerprints) cha pili hakuna mtu anayeweza kuja kulala kwako bila mawasiliano ya simu au hata mesage hvyo upelelezi ukianzia huko jua umekwisha

Chakufanya
Baada ya marehemu kufariki hakikisha unawaamsha ndugu/majirani mnaoishi karibu na kuwaambia kuwa (mfano)fulani joto lake liko sana ningeomba mnisaidie tumpeleke hospital kama una gari au wakuitie usafiri mwende hospital,wakiwa wanambeba hakikisha ndo uko wa kwanza kumnyanyua wenyewe wape kipaumbele kwenye kufngua milango ya gar na nyumba hapo utapata faida ya mambo yafuatayo

1,hautokwenda jela sababu uchunguzi utapatkana moja kwa moja kutoka kwa daktari uliyempeleka marehemu siku hiyo

2,utapunguza bugudha za polisi sababu utakuwa na mashahid ambao watakusaidia kumpeleka mgonjwa ambae ni marehemu hospitalini

3, jibu lako ni kwamba marehemu alipata homa ya ghafla lakini alifia njiani nikiwa nampeleka hospitalin kwa msaada wa majirani/ndugu ....

NB: fanya yote haya kuanzia nusu saa au dakika kadhaa baada ya marehemu kufariki,au kama hukumdhuru/kusababisha kifo cha marehemu
 

Chanzo cha kifo ni kuwa, tumelala wote kuamka kila nikimuamsha haamki nikagundua kuwa tayari ameshakufa.

Hakukuwa na mabishano, kishindo, sauti wala chochote ni kifo cha ghafla tu labda.

Alipokuja alitokea home kwao kachukua boda labda akaja moja kwa moja home.
 
Kama umekamatia Dem akafa lodge au hotel,we sepa tu,Tena potea kabisa,Kama Ana smatifone chukua katupe chooni.

Sasa hapo si ndio itakuwa kesi coz watacheck namba yako kupita service provider wako itaonekana namba yako na yake mmewasiliana na mlikubaliana kukutana sehemu, wataangalia namba za watu wako wa karibu unaowasiliana nao mara kwa mara watawapigia hao watu watawaweka kizuizini ili kukupata wewe au la sivyo wataendelea kushikiliwa, unadhani kuna mtu atakubali kushikiliwa au watatoa ushirikiano kuweza kukupata...?
 

Aisee inahitaji moyo kiongozi ila sidhani bado kama wataweza kukuacha kirahisi mkuu.
 

No hakuna ugomvi wowote let's say kama ni wapenzi mkuu...!
 
Aisee inahitaji moyo kiongozi ila sidhani bado kama wataweza kukuacha kirahisi mkuu.
Ts the best option maana huwezi sema amekufa sababu kuna vigezo huangaliwa ili kusema mtu amekufa.

maelezo lazima utatoa ndio ila utakuwa kwenye nafasi nzuri ya utetezi kuliko wewe ukiwa umetoa taarifa kuwa amekufa maana swali la kwanza ni ulijuaje kuwa amekufa na hilo swali si jepesi hata kidogo.

Kumbuka watu kutoa maiti chumbani kwako kwenda mochwari ni hatari zaidi kuliko kuitoa hospitali kupelela mochwari.
 
Unaweza ukaplay as a good guy au a bad guy

Ukiamua kuplay good guy, umeamka asubuhi ukagundua mgeni wako kafa, anza kutoa taarifa kwa majirani zako kisha uongozi wa mtaa au kijiji chako. Polisi watataarifiwa, watauchukua mwili na wewe watakuchukua, utahojiwa, utalala selo kidogo wakati majibu ya postmortem yakisubiriwa, kisha mwili utakabidhiwa kwa familia yake kwa ajili ya maziko, majibu yakionesha kifo kilikuwa ni cha kawaida, utaachiwa huru, majibu yakionesha alikabwa, alipigwa na kitu kizito mwilini, au alilishwa sumu, bado utaendelea kushikiliwa na unaweza kufunguliwa mashitaka ya kuua kwa kukusudia, hutapata dhamana, utaendelea kusota mahabusu, mashahidi wa upande wa jamhuri watamiminika mahakamani kukukandamiza, hatimae utapewa nafasi ya kujitetea, kama utakuwa huna mwanasheria na haujajipanga vizuri katika utetezi wako, mahakama itakukuta na hatia na unaweza ukahukumiwa kunyongwa hadi kufa.

Ukiamua kuplay bad guy, umeamka asubuhi ukagundua mgeni wako kafa, usiruhusu wenge likutawale, kuwa jasiri, vaa gloves, kama huna kanunue uvae, chukua simu yake usiizime, ya kwako acha nyumbani, nenda nayo mbali kabisa, kama upo dar nenda hata chalinze huko, itoe line, batterry, vitupe mtoni. Rudi dar, kanunue gunia, ushajua la kazi gani eee, ucjali, kila binadamu ana dirty mind, kama una usafiri safi, kama huna azima wa mtu, hakikisha hajui unamuazima kwa kazi gani, hili sio suala la kumshirikisha yoyote, pia hakikisha gunia unalifunga vizuri halitoi picha ya kilichomo ndani. Subiri usiku sana, nenda masafa ya mbali kabisa tofauti na yale uliyotupa simu, liache gunia mafichoni, rudi endelea na mishe zako, waliomuona mgeni nyumbani wakikuuliza unawajibu simple tu, ameshaondoka. Mwili ukipatikana na baadhi ya marafiki au ndugu zake wanaojua ukaribu wenu wakikutafuta kukupa taarifa, onyesha kusikitishwa lakini usiende msibani wala mazishini, jitie ugonjwa baki nyumbani.

Usiombe yakukute, muhimu kama umepanga, ukipata mgeni mtambulishe kwa mwenye nyumba au hata majirani zako, kama nyumba ni yako mtambulishe kwa balozi wa mtaa(ingawaje mazoea haya wengi wetu hatuna), kumtambulisha kunasaidia kuleta picha kuwa hukumuita kwako kwa nia ovu. Epuka kuongea kwa sauti kubwa na mgeni wako, majirani wakisikia wanaweza wakahisi mlikuwa na ugomvi, na hivyo kuhisi ndio sababu ya kifo chake.
 

Hahahahah pole sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…