Wakuu hivi rafiki akifa ndani kwako Sheria inasemaje kuhusu hilo?

Umeongea vizuri, vipi majibu ya daktari yakionyesha marehebu alikufa kutokana na kulishwa sumu ya panya?
Yaani mgeni alilishwa sumu huko alikotoka halafu kaja kufia kwako, huko kumbeba kwako na utitiri wa majirani walioshuhudia ukimtoa ndani kwako, si ndio mashahidi wenyewe hao upande wa jamhuri? Fikiria tena halafu toa wazo.
 
Wazo lake ni sahihi kabisa hana haja ya kufikiria isipokua wewe ndio ufikirie tena na tena.
 
mkuu hakuna wazo lingine hapo sababu ikiwa hukuua hyo series uloichukua itakuokoa na unaweza hata hao polisi wenyewe wasije bali ndugu zake wakamfata tu ndugu yao yakaishia hospitali msala ni pale umekaa na marehemu siku 2 ndani au umekimbia maiti ndani mwko
 
Daktari akishasema marehemu alilishwa sumu, wewe unarukaje hicho kiunzi?
 
Daktari akishasema marehemu alilishwa sumu, wewe unarukaje hicho kiunzi?
siyo kila sumu inaweza kuwa sababu ya wew kufariki,kuna baadhi ya sumu ambazo hutokana na vyakula tunavyokula so endapo atakuwa amepewa mathalani sumu ya panya huwa ina react ndani ya nusu saa tu mzee hvyo ni ngumu kupewa sumu sehemu fulani then akaja kufia kwako,labda kama kuna lingne? na kmbuka kitu cha kwnza kabla ya marhemu kufa hufatiliwa series ya mawasiliano yake wapi alikuwepo nani aliongea nao na kipi waliongea
 
Bongo forensic hatuna lazima ufungwe tu ,waliondelea wangeangalia street camera kuanzia anatoka home hadi anafika kwako ,itaonekana hadi alipokula kwenye huo mgahawa.
 
Nimetoa suggestion zote mbili, kuplay kama good guy au bad guy, maana hapo kinachotafutwa ni uhuru wako kwa ishu ambayo hujaitenda.
Kwa hiyo ukishaitupa line chalinze, unadhani ndio mwisho wa wewe kuonekana kua mlikua na mawasiliano na marehemu? Marehemu hana simu wala line,

Watu walikuona amekuja nyumbani kwako, baadae ukasema ameshaondoka, kesho yake taarifa zinakuja ameuliwa katupwa mbali, msibani huendi unasingizia unaumwa,

Bro, damu ya mtu haipo rahisi kama ulivyoandika.
 
Hivi hawawezi kwenda mtandao husika wakapata mawasiliano ya mwisho?
hapo kinachofanyika wanakwenda mtandao husika wanachukua namba na mawasiliano yenu kinachofanyika wanakwenda kwa mhudum wa zamu aliekuwepo sku hyo nakuulizwa unamjua huyu mtu akisema tu ndo wew uliekuja sku hyo picha linaanzia hapo kwa ku track simu yako then wanakuchukua kiulaini,tena wakikudaka kwa dizaini hii ndo kesi ya mauaji direct inakuangukia
 

Kwani wakienda customer care hawawezi kupata mawasiliano yenu mliyowasiliana mara ya mwisho mkuu...?
 
Mkuu hujaangalia misukosuko


Unachukua maiti hiyo usiku wa manane unaenda kuzika mwenyewe


Hakikisha hakuoni mtu


Vinginevyo hakuna atakaye kuamini hapa bongo zaidi ya kupigwa miaka 30 jela

Kama huyo mtu ni bonge unam-bebaje kiongozi...? Halafu si unajua mtu akifa anakuwa mzito zaidi...?
 
mleta mada na wengine wengi mnataka kupewa mbinu za kudispose mwili na ushahidi na jibu ni yes zipo njia 3 za kukimbia kukimbia hilo tatizo na ushahid ukakosekana kabisa but sitaweza kuzitaja sababu sababu situmii id fake na sipendi zitumike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…