Wakuu hizi baiskeli zinapatikana huko mjini Dar es salaam?

Wakuu hizi baiskeli zinapatikana huko mjini Dar es salaam?

Muimba SINGELI

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
4,211
Reaction score
10,864
Naomba kufahamu kama baiskeli aina hii zinapatikana hapa Tanzania, hii picha nimeitoa Alibaba.
Screenshot_20250715_034343_Lite.jpg


Poor Brain dosho12 Harmful Mama Ndege secretarybird
 
Ewaaa hii hii

Kosa lako ni kufanyia maendeleo, wamesema usipakie hata boksi la biscuit 😁😁😁
Sema hapa mchina kampiga mama Hela mbayà maana baiskel yenyewe imetengenezwa na na chuma nyepesi mbayà 🤔 hz hazitoboi miaka 2 utaziona mtaan zaidi Zaid sehemu wanaponunua crepa ndioo zitakuwa zimejaa😁😁😁
 
Back
Top Bottom