Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,141
Nasubiri 😎Nakutumia control no
Nasubiri 😎Nakutumia control no
Unamtag Poor Brain wakati amesharudi kwao NzegaNaomba kufahamu kama baiskeli aina hii zinapatikana hapa Tanzania, hii picha nimeitoa Alibaba.
View attachment 3406318
Poor Brain dosho12 Harmful Mama Ndege secretarybird
🤣🤣🤣 sikulifahamu hili mkuu, ila hata hivyo kaniambia zipo za kutosha.Unamtag Poor Brain wakati amesharudi kwao Nzega
Hizo changamoto ni mtaji mkuu, nazichungulia mtandaoni naishia kuzitamani tu.Huku kuna zile guta za wabeba mizigo Kariakoo
Nzega tena..Unamtag Poor Brain wakati amesharudi kwao Nzega
Kama umemaliza chuo unabaki kufanya nini?! Kasaidie wazazi kuchungaNzega tena..
Alfu ndio nyie mnatafuta kutukanwa et
Asante mkuu, nikifanikiwa kukikamata hiki kiasi naingia huko jijini daaslam nami nisuuze macho.Bei ni laki 3
Ndo useme nzega mkuu...Kama umemaliza chuo unabaki kufanya nini?! Kasaidie wazazi kuchunga
Nyumbani ni nyumbani🤣🤣Ndo useme nzega mkuu...
Mbona mna mambo ya ajabu nyie watu mi nzegakufanya nn sasa mkuu
Mkuu nani kasema mi wa nzega..Nyumbani ni nyumbani🤣🤣
kwendea kituo cha kutiki oktoba, ndo kazi yake kuu kiongoziKwa hiyo kazi yake ni nini hasa?
Muulize huyu GP Company Limited ukinunua huko atakufikishia kwa kiasi gani ulipoNaomba kufahamu kama baiskeli aina hii zinapatikana hapa Tanzania, hii picha nimeitoa Alibaba.
View attachment 3406318
Poor Brain dosho12 Harmful Mama Ndege secretarybird
Poa mkuu naupitia uzi wake hapa.Muulize huyu GP Company Limited ukinunua huko atakufikishia kwa kiasi gani ulipo.
Aisee. Nimekupata ndugu. Kwa kweli Siasa za nchi za ulimwengu wa tatu-hasa Afrika, zina vituko vingi sanakwendea kituo cha kutiki oktoba, ndo kazi yake kuu kiongozi