Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Yaah jamaa anauza njegere mtaani😂😂 ndiyo kiongozi hizi ni nzuri kwa wauza bidhaa nyepesi mitaani kama vyombo vya plasiki nk.
Yaah jamaa anauza njegere mtaani😂😂 ndiyo kiongozi hizi ni nzuri kwa wauza bidhaa nyepesi mitaani kama vyombo vya plasiki nk.
True,maisha yapo mikoani Pana fursa nyingi sana Dar unapoteza mda wako tu wajanja wamekimbilia mikoani kuokota pesa then wanawekeza darDah mkuu kumbe huku mkoa tunachelewa sana, asante kwa kunifahamisha na hili, hii ingekuwa inafanyika huku niliko nadhani ingekuwa ni chaguo bora zaidi.
Nipo mtwara.Kwani we uko wapi?
Asante mkuu, unaweza kuifahamu bei hata kwa makadilio?Ndio zipo kaka za kushato
BbhaaNipo mtwara.
🤣🤣🤣 huwa nakuzoom tu unapo uponda mkoa wangu japo huwa nafurahia pia maana sisi wenyewe hatuwezi kujisemea.Bbhaa
Nanii tafuta hela, huwezi kumpakia Mary huko nyuma kama fungu la mchichaPoa mkuu ila kuna mdau kanambia zinapatikana, nasubiri kama kuna mtu anajua bei nijitungue kuifata huko Dsm.
Sawa mkuu, ngoja tukimbizane tuone kipi ni kipi.True,maisha yapo mikoani Pana fursa nyingi sana Dar unapoteza mda wako tu wajanja wamekimbilia mikoani kuokota pesa then wanawekeza dar
Nyamwi255 naomba nikutembelee tuongee kidogo huko piem😌Bbhaa
😂😂😂 Mama watoto hana MBA MBA MBA anaenda tu humo freshi kabisa.Nanii tafuta hela, huwezi kumpakia Mary huko nyuma kama fungu la mchicha
Yanahusu pesaKama maongezi hayahusu pesa usije
Bei ya Guta Original ni 8ml,hiyo sijui wanauzajeAsante sana mkuu, vipi bei yake unaijua?
😁😁Ewaaa hii hii
Kosa lako ni kufanyia maendeleo, wamesema usipakie hata boksi la biscuit 😁😁😁
😁😁Ndo hizohizo mkuu, taili moja utaongeza tu
🤣🤣🤣 poa nikijua bei nataka niifate mwenyewe dar nipate nafasi ya kusafisha macho kidogo.Bei ya Guta Original ni 8ml,hiyo sijui wanauzaje
Hiyo baisikeli imegonga jiwe lililoandikwa 'no reform no election'Kumanishaa km hii yangu ya mama cyo 😀 😀 😀 😀 hii yangu nimepataaa ajali n nikiView attachment 3406340hamisha kitanda na godoro mkuu😁😁
Pesa uko nayo?Yanahusu pesa
Ndiyo, nije nayo piem au utanikuta nayoPesa uko nayo?
Nakutumia control noNdiyo, nije nayo piem au utanikuta nayo