Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Zipo design Guta customizedNaomba kufahamu kama baiskeli aina hii zinapatikana hapa Tanzania, hii picha nimeitoa Alibaba.
View attachment 3406318
Poor Brain dosho12 Harmful Mama Ndege secretarybird
Asante sana mkuu, vipi bei yake unaijua?Zipo design Guta customized
Sawa mkuu rangi sio shida mimi ni Mwanajangwani.Zipo za rangi ya kijani
Kumanishaa km hii yangu ya mama cyo 😀 😀 😀 😀 hii yangu nimepataaa ajali n nikiZipo za rangi ya kijani
Simfahamu huyo mtu mkuu.Hivi weye sio tajiri usiye na baya?
Pole bwashee, mimi nahitaji hizi zenye taili mbili nyuma.Kumanishaa km hii yangu ya mama cyo 😀 😀 😀 😀 hii yangu nimepataaa ajali n nikiView attachment 3406340hamisha kitanda na godoro mkuu😁😁
4nex bei gani kwa sasa?Kumanishaa km hii yangu ya mama cyo 😀 😀 😀 😀 hii yangu nimepataaa ajali n nikiView attachment 3406340hamisha kitanda na godoro mkuu😁😁
Ewaaa hii hiiKumanishaa km hii yangu ya mama cyo 😀 😀 😀 😀 hii yangu nimepataaa ajali n nikiView attachment 3406340hamisha kitanda na godoro mkuu😁😁
Ndo hizohizo mkuu, taili moja utaongeza tuPole bwashee, mimi nahitaji hizi zenye taili mbili nyuma.
😂😂😂🤣Ndo hizohizo mkuu, taili moja utaongeza tu
Sema hapa mchina kampiga mama Hela mbayà maana baiskel yenyewe imetengenezwa na na chuma nyepesi mbayà 🤔 hz hazitoboi miaka 2 utaziona mtaan zaidi Zaid sehemu wanaponunua crepa ndioo zitakuwa zimejaa😁😁😁Ewaaa hii hii
Kosa lako ni kufanyia maendeleo, wamesema usipakie hata boksi la biscuit 😁😁😁
Mmezipataje aisee maana no reforms ishakua tabu niambulie hata bike ya mamaSema hapa mchina kampiga mama Hela mbayà maana baiskel yenyewe imetengenezwa na na chuma nyepesi mbayà 🤔 hz hazitoboi miaka 2 utaziona mtaan zaidi Zaid sehemu wanaponunua crepa ndioo zitakuwa zimejaa😁😁😁
Miaka miwili yote hiyo? Hizo ni special kwa miezi minne kuanzia sasa.Sema hapa mchina kampiga mama Hela mbayà maana baiskel yenyewe imetengenezwa na na chuma nyepesi mbayà 🤔 hz hazitoboi miaka 2 utaziona mtaan zaidi Zaid sehemu wanaponunua crepa ndioo zitakuwa zimejaa😁😁😁
Una shati la CCM na kofia mkuu nikuelekeze zinapopatikana😁😁😁😁Mmezipataje aisee maana no reforms ishakua tabu niambulie hata bike ya mama
HapanaAsante sana mkuu, vipi bei yake unaijua?
Poa mkuu ila kuna mdau kanambia zinapatikana, nasubiri kama kuna mtu anajua bei nijitungue kuifata huko Dsm.Ukikosa nwambie fundi akutengenezee ni simple tu