Wakuu hizi baiskeli zinapatikana huko mjini Dar es salaam?

Pia dar wanaunda pikipiki guta ukitaka pia unachukua pikipiki then unaikata nyuma unaunga na kichanja mfano wa torori inabeba hadi kilo 700 inafaa kwa maeneo yasiyo na milima kubebea mizigo
 
Pia dar wanaunda pikipiki guta ukitaka pia unachukua pikipiki then unaikata nyuma unaunga na kichanja mfano wa torori inabeba hadi kilo 700 inafaa kwa maeneo yasiyo na milima kubebea mizigo
Dah mkuu kumbe huku mkoa tunachelewa sana, asante kwa kunifahamisha na hili, hii ingekuwa inafanyika huku niliko nadhani ingekuwa ni chaguo bora zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…