Wakuu hizi baiskeli zinapatikana huko mjini Dar es salaam?

Dah mkuu kumbe huku mkoa tunachelewa sana, asante kwa kunifahamisha na hili, hii ingekuwa inafanyika huku niliko nadhani ingekuwa ni chaguo bora zaidi.
True,maisha yapo mikoani Pana fursa nyingi sana Dar unapoteza mda wako tu wajanja wamekimbilia mikoani kuokota pesa then wanawekeza dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…