Si ndioooo 😂 Wanaamini sote tunapewa hela wengine tunahudumia.Mwezi wa 3 huuu, na yeye ndo anatuma kwangu miamala.
Achaneni na wapenzi wa watu
Mimi miaka sasa mifuko imetoboka nehemea mshahara wa wife.Fanya nilivyosema akiendelea kubaki njoo nikupe 2ml
Ndio hapo sasa.Hoja hii ni dhaifu sana mkuu, unataka kuniambia wanawake wote wapo kwenye ndoa au mahusiano kwasababu ya hela! No.
Una mtu?Si ndioooo 😂 Wanaamini sote tunapewa hela wengine tunahudumia.
gaoaghayuqkavafyquaiVa58q9zvKalSi ndioooo 😂 Wanaamini sote tunapewa hela wengine tunahudumia.
Minya eneo la transaction tuone outcome yake, akiendelea kubaki njoo nikupe 2mlUhalisia ni kuwa, watz wengi tunaishi kwa kuvumiliana. Hizo transactions mnazozisema hata hazipo kama mnavo zilabel, basi tu kukuza mambo.
Hata we mtoa post unaweza kuta hizo wiki 2 zinaisha hujatoa hata sumni.
SawaMinya eneo la transaction tuone outcome yake, akiendelea kubaki njoo nikupe 2ml
Wanavyojitiaga kuongea pesa pesa utafikiri hata wanazo sasa! Wanavumiliwa tu.Uhalisia ni kuwa, watz wengi tunaishi kwa kuvumiliana. Hizo transactions mnazozisema hata hazipo kama mnavo zilabel, basi tu kukuza mambo.
Hata we mtoa post unaweza kuta hizo wiki 2 zinaisha hujatoa hata sumni.
sina, njoo 🤣Una mtu?
Nimekuelewa bro! Aione bro Eva 😂gaoaghayuqkavafyquaiVa58q9zvKal
Nilitaka nianguke hapa kwa furaha ,ila nikakumbuka unatania😆sina, njoo 🤣