binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
We anguka, Mengine tutajua mbele kwa mbele.Nilitaka nianguke hapa kwa furaha ,ila nikakumbuka unatania😆
Wahi! 😅
We anguka, Mengine tutajua mbele kwa mbele.Nilitaka nianguke hapa kwa furaha ,ila nikakumbuka unatania😆
Niweke hiyo siti nakuja kwa speed zote aisee, hapa hata mechi nitakua siangalii vizuri maana muda wote nakua naanza kikuwaza😆😆We anguka, Mengine tutajua mbele kwa mbele.
Wahi! 😅
Madogo wakiona nyuzi kama hizi wanaingia kwenye mahusiano tayari wakiwa damaged kiakili. Kumbe mambo ni vice versa.Wanavyojitiaga kuongea pesa pesa utafikiri hata wanazo sasa! Wanavumiliwa tu.
JF shahidi .Niweke hiyo siti nakuja kwa speed zote aisee, hapa hata mechi nitakua siangalii vizuri maana muda wote nakua naanza kikuwaza😆😆
Mimi huyu niliyenaye(mke) nilimfanya ajipate, Yani ile safe mode.!Minya transaction akiendelea kubaki njoo nikupe 2ml
Bro Eva yupo church anapunguza dhambi, akija nampa taarifa🤣Nimekuelewa bro! Aione bro Eva 😂
Ulifanya utafiti kwa watu wangapi mpaka kufikia hitimisho hili?Anahama kama fisi waliomaliza kula mzogo somewhere kwenye hifadhi.
Pesa, kibunda, dollar,fedha,noti...hii kitu inaamua mambo mengi sana.
🤣 ngoja siku huruma iisheMe najitoa kwenye hii challenge nimekaa single miaka sita mpaka alivyonionea huruma yeye juz juz tu hapo
Akija muulize anaoa lini 🤣Bro Eva yupo church anapunguza dhambi, akija nampa taarifa🤣
Yeye ni kataa ndoa, analinda kibunda. Kibunda chenyewe hana, sijui analinda nini🤣🤣🤣Akija muulize anaoa lini 🤣
Ushawahi mminyia kwenye transaction akaendelea kubaki au alisepa????