Wakuu huyo mwanamke ulienaye minya kidogo eneo la transaction kwa wiki mbili akiendelea kubaki njoo nikupe 2ml

Binafsi nafikiri ukweli ni kwamba endapo ataondoka kwa sababu hukumpa pesa ndani ya muda huo basi hakuwa mkeo in the first place. Mke wako hawezi kukuacha kwasababu umeshindwa kumpa pesa kwa wiki mbili tu.
Nini haswa kitamfanya aondoke kama bado anahudumiwa kama mke (chakula, mavazi,matibabu nk)?
Nadhani hizi narrative hazijengi jamii yetu. Tujitahidi kufikiria vizuri kabla ya kuhitimisha mambo kwa kauli kama hizi.
 
Fanya nilivyosema akiendelea kubaki njoo nikupe 2ml
 
1.Demu atasepa tu hukuna kubashiri

2.Mke ataishia kukuvua suruali tu heshima hutoipata ila atakuwepo

So hakuna matokeo shadid, kuwa specific.?
Minya transaction akiendelea kubaki njoo nikupe 2ml
 
Binafsi nafikiri ukweli ni kwamba endapo ataondoka kwa sababu hukumpa pesa ndani ya muda huo basi hakuwa mkeo in the first place. Mke wako hawezi kukuacha kwasababu umeshindwa kumpa pesa kwa wiki mbili tu.
Nini haswa kitamfanya aondoke kama bado anahudumiwa kama mke (chakula, mavazi,matibabu nk)?
Nadhani hizi narrative hazijengi jamii yetu. Tujitahidi kufikiria vizuri kabla ya kuhitimisha mambo kwa kauli kama hizi.
Vijana wengi malimbukeni wameoa au wako kwenye mahusiano na Malaya hivyo wanachukulia wanawake wote walioko kwenye mahusiano ni Malaya kama wake/wapenzi wao.Tuulize sisi tuliooa wanawake waliofunzwa kwao tunavyofurahia maisha ya ndoa hata kama tuna pesa za mawazo.SHIDA ZAKO USIZIFANYE ZIWE SHIDA ZA WATU WOTE
 
Naunga mkono hoja.
 
Naunga mkono hoja.
Watu wanataka status mtaani kwamba nimeoa mwanamke mwenye tako kubwa mrefu kama twiga wanaume wote wanamsifia,ana maisha expensive yaani ni mwanamke matawi na Kila weekend anataka nimtoe out akale Bata,braza utapigwa uchakae acha kushoboka na slay queen walioingia kwenye ndoa Kwa bahati mbaya ambaye kuwa naye kwenye ndoa/mahusiano ni kama amekupa fadhira yaani kakuhurumia
 
Back
Top Bottom