Wakuu huyo mwanamke ulienaye minya kidogo eneo la transaction kwa wiki mbili akiendelea kubaki njoo nikupe 2ml

Hoja hii ni dhaifu sana mkuu, unataka kuniambia wanawake wote wapo kwenye ndoa au mahusiano kwasababu ya hela! No.
 
Ila mitandao mnajua kukuza ujinga!! Nchi hii asilimia kubwa ni masikini. Wake zenu are keeping up with your broke asses ila mnavyojitoa ufahamu sasa🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
ukweli ndio huo waminye eneo la transaction tuone outcome
 
Uhalisia ni kuwa, watz wengi tunaishi kwa kuvumiliana. Hizo transactions mnazozisema hata hazipo kama mnavo zilabel, basi tu kukuza mambo.

Hata we mtoa post unaweza kuta hizo wiki 2 zinaisha hujatoa hata sumni.
 
Minya eneo la transaction tuone outcome yake, akiendelea kubaki njoo nikupe 2ml
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…