Wakuu huyo mwanamke ulienaye minya kidogo eneo la transaction kwa wiki mbili akiendelea kubaki njoo nikupe 2ml

Minya transaction akiendelea kubaki njoo nikupe 2ml
Mimi huyu niliyenaye(mke) nilimfanya ajipate, Yani ile safe mode.!

Kwamba hata nisipokuwepo kuni za wakwere zisimgalagaze kisa uchumi

Kweli hata miezi kadhaa maokoto sio ishu labda nyege zake binafsi

Kijana umeoa.?
 
Inategemea orientation ya huyo mwanamke at the first date.Kama ulimpata kwa njia ya miamala ni sawa
 
Anahama kama fisi waliomaliza kula mzogo somewhere kwenye hifadhi.

Pesa, kibunda, dollar,fedha,noti...hii kitu inaamua mambo mengi sana.
Ulifanya utafiti kwa watu wangapi mpaka kufikia hitimisho hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…