Wakuu ipi dawa nzuri ya kupunguza Asidi tumboni?

1.Loweka bamia kunywa
2. Hospital watakupa vidonge au syrup flan hivi hupunguza acid i.e Relcer, alugel au Altapham hizi pia unaweza nunua pharmacy
3. Punguza kula vyakula vichachu au vyenye nyanya
4. Kula sana tikiti na tango na bamia ni first aid nzuri
Pole sana
 
Asante sana ngoja nijaribu
 
Back
Top Bottom