Wakuu ipi dawa nzuri ya kupunguza Asidi tumboni?

Wakuu ipi dawa nzuri ya kupunguza Asidi tumboni?

Kina nani wanasema...uje na scientific proof hapa usipinge vitu bila ushahidi...achana na story za vijiwe vya kahawa
Naomba niseme ni hearsay.ni kama kusema ukiwa humchi mungu hufanikiwi.wakati matajiri 80% sio wacha mungu
 
Saga ubuyu kisha chukua asali tengeneza matonge ya mchanganyiko wa ubuyu na asali mbichi Kila asubuhi kabla ya kula meza tongue moja fanya hivyo kila siku kwa wiki mbili, Rudi hapa unipe majibu tena uje inbox
Kwa nin ushuhuda aje kuutoa inbox na sio laivlaiv
 
Vikwepe kwa kipindi hiki na wakati unatumia hizo dawa. Ukikaa vizuri kula mara mojamoja sana. Kwepa lemonade, spicy na juice za box...
Asante kwa ushauri ivo vichomi vinaumiza sana 😭😭
 
Ukishakua na vidonda tumboni lazima uumie cha msingi nenda hospitali wakupe tiba usije sikiliza wajinga wakakupa dawa za mitishamba
Ok jana nilienda nikakutana na dokta wa kiswedish walinicheki kwa kunipiga kipimo cha barium meal wakaniambia nisiwaze sana wakanipatia na dawa nyingi sana wameniambia baada ya wiki kazaaa nirudi tena ili wanicheki kwa Endoscopy
 
Back
Top Bottom