Wakuu ipi dawa nzuri ya kupunguza Asidi tumboni?

Wakuu ipi dawa nzuri ya kupunguza Asidi tumboni?

Kuwa na pantoprazole vidonge au hali ikiwa mbaya Sana sindano pantoprazole, sindano pia ya kuzia kutapika ili uweze kula

Ila bamia zinasaidia sana
Ngoja nianze bamia sema huku bamia nauziwa bei sana yaani😭😭
 
amoxy 1g bid kwa siku7,omiprazole 1 or 2 bid siku 10 mpaka 20(hii kama unamadonda ya tumbo),punguza kula vyakula vyenye gesi kama majuis,nyama nyekundu ,maharagwe n.k, maji lita 3 kwa siku, magnesium 2 tds kwa siku 5, juis ya bamia au bamia kwa wingi.
 
Asante kwa ushauri mzuri sana
amoxy 1g bid kwa siku7,omiprazole 1 or 2 bid siku 10 mpaka 20(hii kama unamadonda ya tumbo),punguza kula vyakula vyenye gesi kama majuis,nyama nyekundu ,maharagwe n.k, maji lita 3 kwa siku, magnesium 2 tds kwa siku 5, juis ya bamia au bamia kwa wingi.
 
Ndo chakula nachopenda daa huu ugonjwa soon utanitoa roho jamani😭😭😭😭😭
Vikwepe kwa kipindi hiki na wakati unatumia hizo dawa. Ukikaa vizuri kula mara mojamoja sana. Kwepa lemonade, spicy na juice za box.
Pia ukianza kuhisi vile vichomi anza kutumia moja ya hizo dawa, usisubiri hadi hali iwe mbaya.
In addition na zile dawa pia kuna pylori kit nayo ni nzuri. Pia kuna hizi za viscid gel zinasaidia kuondoa gesi kwa haraka
 
1.Loweka bamia kunywa
2. Hospital watakupa vidonge au syrup flan hivi hupunguza acid i.e Relcer, alugel au Altapham hizi pia unaweza nunua pharmacy
3. Punguza kula vyakula vichachu au vyenye nyanya
4. Kula sana tikiti na tango na bamia ni first aid nzuri
Pole sana
Usijaribu inaua mboo
 
Saga ubuyu kisha chukua asali tengeneza matonge ya mchanganyiko wa ubuyu na asali mbichi Kila asubuhi kabla ya kula meza tongue moja fanya hivyo kila siku kwa wiki mbili, Rudi hapa unipe majibu tena uje inbox
 
Back
Top Bottom