Wakuu ipi dawa nzuri ya kupunguza Asidi tumboni?

Kwanza kabisa, anza tabia ya kula matunda katika tumbo tupu kabla ule chochote kingine.
Kula matunda kama papai, tango, tikiti maji, etc
Epuka matunda yenye asidi kwenye tumbo tupu. Mfano machungwa kula baada ya chakula. Hii itasaidia kumemg'enya vyema chakula.
Usisahau kula bamia kwa wingi na mbogamboga. Bamia waweza loweka kwa kukata slesi ndogondogo ukaloweka kwa maji ya lita moja usiku mpaka kesho hake asubuhi ukayachuja na kunywa.

Lastly, epuka sana hasira na kubeba uchungu. Yaani ukivibeba hivi utaumwa mno. Epuka sana haya. Mimi ni mfano unaoishi. Am all good now. Pia kula vyakula laini laini.
Zaidi uwe na vidonge vya pantorazole 40. Hivi ni vizuri lkn kama unapata lishw bora havina hata nafasi.
 
Asante sana
 
Maana tumbo linauma sana nateseka
pole sana.
chukua aloe vera yale majani yake kata vipande vidogo vidogo kisha changanya na asali mbichi. kisha kunywa fanya hivyo kwa siku 7 mfululizo au zaidi kutegemeana na upatikanaji wa mali ghafi za kutengenezea dawa husika
asante
 
Chemsha karafuu unywe,ina saidia sana kwa mtu mwenye kiungulio, acid etc
 
Back
Top Bottom