Naomba niseme ni hearsay.ni kama kusema ukiwa humchi mungu hufanikiwi.wakati matajiri 80% sio wacha munguKina nani wanasema...uje na scientific proof hapa usipinge vitu bila ushahidi...achana na story za vijiwe vya kahawa
Kwa nin ushuhuda aje kuutoa inbox na sio laivlaivSaga ubuyu kisha chukua asali tengeneza matonge ya mchanganyiko wa ubuyu na asali mbichi Kila asubuhi kabla ya kula meza tongue moja fanya hivyo kila siku kwa wiki mbili, Rudi hapa unipe majibu tena uje inbox
Muhimu anicopy I may not be on air reliablyKwa nin ushuhuda aje kuutoa inbox na sio laivlaiv
Kwan akikuquote hutopata notifikeshen???Muhimu anicopy I may not be on air reliably
Asante kwa ushauri ivo vichomi vinaumiza sana 😭😭Vikwepe kwa kipindi hiki na wakati unatumia hizo dawa. Ukikaa vizuri kula mara mojamoja sana. Kwepa lemonade, spicy na juice za box...
Mbona nimenza juzi na bado napiga hadi mama watoto hananishangaaUsijaribu inaua mboo
Utani uaHata beer inapunguza
Nami najifunzaMbona nimenza juzi na bado napiga hadi mama watoto hananishangaa
Pole sana. Jitahidi usiruhusu tumbo kuwa tupuAsante kwa ushauri ivo vichomi vinaumiza sana 😭😭
Kweli kakaHata beer inapunguza
AsantePole sana. Jitahidi usiruhusu tumbo kuwa tupu
Nikinywa tumbo linawaka motoKweli kaka
Vidonda vya tumbo .mivyoo au utiiNikinywa tumbo linawaka moto
Ninavyo vidonda vinanitesaVidonda vya tumbo .mivyoo au utii
Ukishakua na vidonda tumboni lazima uumie cha msingi nenda hospitali wakupe tiba usije sikiliza wajinga wakakupa dawa za mitishambaNinavyo kaka vinanitesa sana😭😭😭
Nenda hospital haraka huko ndo kuna wa kutatua tatizo lako.Maana tumbo linauma sana nateseka
Ok jana nilienda nikakutana na dokta wa kiswedish walinicheki kwa kunipiga kipimo cha barium meal wakaniambia nisiwaze sana wakanipatia na dawa nyingi sana wameniambia baada ya wiki kazaaa nirudi tena ili wanicheki kwa EndoscopyUkishakua na vidonda tumboni lazima uumie cha msingi nenda hospitali wakupe tiba usije sikiliza wajinga wakakupa dawa za mitishamba
Nilienda ila vinanitesa sana😭😭Nenda hospital haraka huko ndo kuna wa kutatua tatizo lako.
Olive oil haiwezi kukosekana kwa wazungu hata kidogoOk huku nilipo kwa wazungu hayapo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]