Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
- #101
Mkuu lengo ni kupata mawazo kama haya mi ninachochua ni kuwa hata hizo solar panel zinatengenezwa na ma company hivyo nahitaji solar,betery imara kwa ajiri ya maisha ya porimtu una bajeti ya 3m unawaza sola za kampuni duh kwann usiende duka wana sell genuine solar panel chukua WATT kuanzia 200 bei haifiki lak7 then chukua VARTA betr N200 nazan haizid 700k chukua charge controller ya 50k inverta genuine ya 100k nyaya haizid 100k huo n umeme mkubwa vby sana unakwama wap fund kanjanja unampa hata 50k hapo upo huru hata ku connect kafriji