Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Inshallah mwakani nitakuwa porini kwenye shughuli za ufugaji na kilimo.
Naomba Kwa wanao jua nitahitaji mambo wa solar Kwa ajiri ya mwaga,kutotoreshea vifaranga na burudani kidogo si unajua porini Tena.
Mimi binafisi nilinunua mtambo wa mySol Kwa mkopo kama m3 na ushee mtambo wa kati na ipo vizuri tu. Shida system Yao huwezi connect na incubator machine ama device zingine za electronic isipokuwa zao tu.
Naomba Kwa wanao jua