Wakuu kati ya kampuni hizi za sola D.light, MySol, SunKing na nyingine unazozijua ipi imara na mzuri?

20240715_134736.jpg

Huu mtambo wa mobisol unapiga kaz mpaka unabak unashangaa,njoo na laki 4 tu nikupe na solar yake

Maajabu uliyowah kufanya uliwasha mziki wenye powermixer na spika 6 za inch 18 mbili zikiwa za bass

Pia uliwah kuwasha tv inch 55 na mziki wake
 
Mkuu tafuta Generator dogo,nenda nalo porini ,solar ni utapeli, utapeli, utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli
 
Jana niliandika uzi huu kwenye jukwa la biashara na uchumi lakini nimekoswa wachangiaji
nipo serious mwakani kama Mungu ataruhusu basi nitakuwa porini kwenye shughuli za ufugaji na kilimo.

Awali nilinunua mtambo wa mysol ule wa kati kwa mkopo kama sijasahau ni m 3.8 hivi.Siwezi sema ni mbaya hapana kwa sababu kwa matumizi ya kijijni kwa wazee wangu hawajawahi sema shida yoyote zaidi ya kushukuru tu kila ninapo wauliza kama una changamoto au lah.

Shida ya Mysol ni pale huwezi kutumia mtambo wao nje na bidhaa zao tu. Yaani ile system yao inakulazimu kila kitu ununue kwao shida ni kwamba mimi nahitaji sola hiyo inisaidie kwenye mwanga,incubator,machine ya kunyolea,na friji kidogo, tv na bufa.

Bahati mbaya Mysol kama nilivyoeleza basi ukitaka bufa ununue kwao ugumu ni kwamba sio kila bidhaa wanazo wao lazima natakiwa niwe huru na solar yangu nikiwa nahitaji kufanya hiki nifanye kwa uhuru wote.

Basi kwa anayejua mtambo wowote mzuri naomba aniambie hapahapa sitaki mtu aje inbox bali anielekeze hapahapa.Bajeti yangu ni m3. ahsante sana

Niliwanunulia maskani bush kwetu watt 70 Sundar, imekaa toka 2018 Hadi 2024 ndio ikaacha kucharge.
 
Mkuu tafuta Generator dogo,nenda nalo porini ,solar ni utapeli, utapeli, utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli utapeli
Mkuu ukihitaji kuchaji simu unavuta generator seriuos? unataka kulala tena unavuta kamba?Labda iwepo ya emergency tu sikatai
 
Jana niliandika uzi huu kwenye jukwa la biashara na uchumi lakini nimekoswa wachangiaji
nipo serious mwakani kama Mungu ataruhusu basi nitakuwa porini kwenye shughuli za ufugaji na kilimo.

Awali nilinunua mtambo wa mysol ule wa kati kwa mkopo kama sijasahau ni m 3.8 hivi.Siwezi sema ni mbaya hapana kwa sababu kwa matumizi ya kijijni kwa wazee wangu hawajawahi sema shida yoyote zaidi ya kushukuru tu kila ninapo wauliza kama una changamoto au lah.

Shida ya Mysol ni pale huwezi kutumia mtambo wao nje na bidhaa zao tu. Yaani ile system yao inakulazimu kila kitu ununue kwao shida ni kwamba mimi nahitaji sola hiyo inisaidie kwenye mwanga,incubator,machine ya kunyolea,na friji kidogo, tv na bufa.

Bahati mbaya Mysol kama nilivyoeleza basi ukitaka bufa ununue kwao ugumu ni kwamba sio kila bidhaa wanazo wao lazima natakiwa niwe huru na solar yangu nikiwa nahitaji kufanya hiki nifanye kwa uhuru wote.

Basi kwa anayejua mtambo wowote mzuri naomba aniambie hapahapa sitaki mtu aje inbox bali anielekeze hapahapa.Bajeti yangu ni m3. ahsante sana

Ensol,
 
Back
Top Bottom