Wakuu kati ya kampuni hizi za sola D.light, MySol, SunKing na nyingine unazozijua ipi imara na mzuri?

Kuna mtambo unaitwa zola nilikuwa nao ulikuwa vizuri sana,battery inapiga kazi kwa ufanisi,unaweza kuunganisha vifaa bila shida kabisa ila sifahamu kama bado hiyo kampuni ipo
 
Kwa mahitaji yako (kutotoreshea vifaranga kwa incubator + mwanga + burudani), SunKing (Greenlight Planet) ni bora zaidi kwa sababu:
1. Ina uwezo wa kuunganisha na vifaa vingine(kama incubator) tofauti na mySol.
2. Mifumo yao si ya kufungwa, hivyo una urahisi wa kuunganisha vifaa vingine.
3. Ina nguvu zaidi kuliko d.light, hivyo inakidhi mahitaji ya nyumbani na shughuli za ufugaji.
SunKing Home 800+ ina 800W inaweza kushika incubator, friji ndogo, TV, na machine ya kunyolea). Pia inaruhusu vifaa vya nje (tofauti na mySol).
Ina betri kubwa (100Ah+) kwa matumizi ya mchana na usiku.
Bei: Kati ya 2,500,000 hadi 3,500,000

Kila la heri. Asalaam Aleykum..
 
Shukrani sana mkuu
 
Wana technologia nzuri sana ... Awali nijua ndo hizi hapa

Ni wenyewe pia hilo la kijivu sijajua ni nn,ila hako ka pembeni hapo ndyo battery,mim nilikuwa nao nimetumia miaka mitano bila shida ila niliuuza baada ya kupata umeme wa tanesco,Hilo battery nililidharau kipindi fundi anakuja kunifungia kwasababu ni jepesi alafu unapachika tu ukutani,ila nilipoanza kutumia ndyo nkaona balaa lake
 
Sunking ndo habari ya mjini na vijijini, miaka 5 bado ina ubora ule ule
 
Back
Top Bottom