Wakuu kati ya kampuni hizi za sola D.light, MySol, SunKing na nyingine unazozijua ipi imara na mzuri?

ABORDER betri zao ni nzuri, ukiona sola za kampuni fulani zinapatikana kwa wingi ujue huko zinakotoka zinauzwa kwa bei ya kutupa na hazina ubora. Wafanyabiashara wa Tanzania hununua vyakutupa na kuja kuviuza kwa bei ya iliyoboreshwa!
 
Mkuu bei sio shida kikubwa kitu imara heri ninunue beteri na sola na taa tu halafu mengine badae
Basi tafuta hiii, ukipata ya VIETNAM ndio nzuri zaidi kuliko ya CHINA
images (9).jpeg
 
mkuu nimezichek kwa mwonekano ni nzuri. je umewahi kuzitumia ? wanauzaje?
Nimechukua mtambo wa Zola mwaka jana,nilichukua flex marx Ac unalipia kianzio 185,000/= malipo ya mwezi ni 99,000/= kwa muda wa miaka minne na nilipewa Sola ya watts 240 na battery yao ni watts 640 na pia unapata Taa Tisa na inverter ya watts 300,Mimi nilichukua kwa mkopo that's why nimeeleza habari za malipo ya awali namalipi ya mwezi kwa cash sifahamu pia Wana mitambo ya Tv inch 24,32 na 43 kwa maelezo zaidi nipigie 0758916151 au text watsap
 
Mkuu solar pannel watts 240 bettery watts640, taa9 na inveta pekee kwa 99000 sawa na 4,752,000 kwa miaka 4?

Je hawana TV kwenye huo mtambo?
 
Back
Top Bottom