Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
-
- #101
Mkuu lengo ni kupata mawazo kama haya mi ninachochua ni kuwa hata hizo solar panel zinatengenezwa na ma company hivyo nahitaji solar,betery imara kwa ajiri ya maisha ya porimtu una bajeti ya 3m unawaza sola za kampuni duh kwann usiende duka wana sell genuine solar panel chukua WATT kuanzia 200 bei haifiki lak7 then chukua VARTA betr N200 nazan haizid 700k chukua charge controller ya 50k inverta genuine ya 100k nyaya haizid 100k huo n umeme mkubwa vby sana unakwama wap fund kanjanja unampa hata 50k hapo upo huru hata ku connect kafriji
hizoo umetaja n pipo wamekariri tu nenda maduka ya solar kuna sola kali sana brand ya germany kama pro solar au reedstar znachaj had kwenye mvua au mawingu utakuja kunishukuruMkuu lengo ni kupata mawazo kama haya mi ninachochua ni kuwa hata hizo solar panel zinatengenezwa na ma company hivyo nahitaji solar,betery imara kwa ajiri ya maisha ya pori
Ahsante sana mkuuhizoo umetaja n pipo wamekariri tu nenda maduka ya solar kuna sola kali sana brand ya germany kama pro solar au reedstar znachaj had kwenye mvua au mawingu utakuja kunishukuru
Bado mkuu Maandalizi mengine nishaanza kufanya kama kutanguliza mtu huko porini.updates mkuu
sawa mi mwenyewe ndo nilikua napiga survey za solarBado mkuu Maandalizi mengine nishaanza kufanya kama kutanguliza mtu huko porini.
Sawa mkuu ukweli bado sijapata nafasi ya kwenda mjini japo kuulizia zaidi kwa wauzaji wa solar hii kulingana na majukumu ya kazi zetu hizi.sawa mi mwenyewe ndo nilikua napiga survey za solar
Sawa mkuu ukweli bado sijapata nafasi ya kwenda mjini japo kuulizia zaidi kwa wauzaji wa solar hii kulingana na majukumu ya kazi zetu hizi.