Unaanza kumbishia boss wako atakae nunua kazi yako ukiwa mbishi hutafika mbali ni bora ukubaliane nao hao ndio wateja ujueKwani hamna mwalimu shoga alie shikwa juzi, na mapolisi kama wa Zanzibar je? Bas mwanao asiwe polis na mwalimu eti
Asante na karibu
πππππAlimradi tu usiwe *****. Uanamitindo na ushoga chungu na figa.
ππKweli ww mchekeshaji kila la heriNkulu wa nchito kichwa chako kimekaa kama Ganda la karanga tetetehh usipanic Bure ni utani tu ila ukinuna ni ukweli tetetehh
Asante na karibuuu
Cocastic nimekuja kujitambulisha kwa Nia njema nashangaa naitwa shoga, dah nikaambiwa hiyo kazi ni ya mashoga, nikajiongeza na ongea na watu wasio na elimu ya fashion kila elimu ina kitengo chake hao hawana pia hawataki kueleweshwa. Marais wa nchi Wana wabunifu wao wamavazi je nao husapoti ushoga? Nikajiongeza tu hao wanaitaji kuelimishwaUsijari mkuu.
usisahau kwenda sehemu ya help alaf BB codes utajifunza vitu flani hvHabari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
Min me mi nimekuja kujitambulisha mambo mengine yafate naanza kulazimishwa mambo mengine, nmesikitishwa sana eti ushoga dah mwalimu alie shikwa juzi analiwa na mwanafunzi wake, au yule afande wa Zanzibar nao ni mamodo ni mafashionist?Kaza ndugu , ukiwa na nia na bidii utafika mbali sana
Kama ni vya kheri mkuu tapita, maana lengo la kuja hapa ni kukutana na watu ili niongeze maarifa mkuu Asante sanaaausisahau kwenda sehemu ya help alaf BB codes utajifunza vitu flani hv
Ni kweli kaka sipo tayari kukubali mtu anishike matako eti ni mteja wangu lazima name aheshimu utu wangu Nina wazaz Nina ndugu kwa nini anizalilishe nami nikae kimya kisa mteja wangu? Nao Wana watoti one day yes siwaombei mabaya ila inabidi kufikir kabla ya kuneneUnaanza kumbishia boss wako atakae nunua kazi yako ukiwa mbishi hutafika mbali ni bora ukubaliane nao hao ndio wateja ujue
Mkuu Evelyn Salt tujitahidi na kujifunza pamoja na kuwaelewa hawa vijana wetu.Kwa wanaume modeling na π ni kama chips na tomato.
Karibu jf
Shida huwa inaanzia hapa ππHabari yako ππView attachment 3447887
Baada ya shule aliendelea na Elimu ya juu au ni vipi?Mwanangu hawezi kufanya hiyo kitu mbele yangu nikiwa hai.....
Wengi wanaofanya hizo sijui inakuaje wanajihusisha na ushoga, kuna dogo mmoja shuleni alikua anafanya hizo mambo alikua kijana tu fresh siku za graduation ndo anaandalia wenzie mavazi ya fashion show....mmh kamaliza tu shule nmekutana nae mtaani wala hauulizi "Aviola huyu hapa"
We mwenyewe hapo kwenye picha mwanaume umetinda nyusi.
Hapa bongo kina martin kadinda, yule sijui nani wa wasafi aaagrrr hii kazi ni kazi ila hapana
Alooh hili jukwaa lishakushinda maana ushaanza kuwapangia watu nini cha kusema wakati humu huwa hatupangwingwiNi kweli kaka sipo tayari kukubali mtu anishike matako eti ni mteja wangu lazima name aheshimu utu wangu Nina wazaz Nina ndugu kwa nini anizalilishe nami nikae kimya kisa mteja wangu? Nao Wana watoti one day yes siwaombei mabaya ila inabidi kufikir kabla ya kunene
Asante na karibuu
π π kumbe umechukulia seriously mkuuπ πMin me mi nimekuja kujitambulisha mambo mengine yafate naanza kulazimishwa mambo mengine, nmesikitishwa sana eti ushoga dah mwalimu alie shikwa juzi analiwa na mwanafunzi wake, au yule afande wa Zanzibar nao ni mamodo ni mafashionist?
Asante na karibuu
Ila Eve, mmmhWanawake hamna shida, shida ipo kiumeni....kiukweli niliowaona mie na ninao wajua wengi ni π
Mkuu lengo umelielewa lakini? Mi nimekuja kujitambulisha sio kutangaza kazi zangu kwa sasa mkuu next time tawaambia kuwa nmeleta kazi sio mkuuHumu mkuu ukifika tu kama kazi zako zonaeleweka kama hivyo ulivyosema wewe ni mchekeshaji basi unapost kichekesho tuone kama tutacheka!
Nimekaa nafasi ya mzazi kabisa, mimi kama mzazi hii kazi ni nzuri watu wanajiajiri ila vijana weeengi wanaoifanya ni magay ukweli utabaki kuwa ukweli.Mkuu Evelyn Salt tujitahidi na kujifunza pamoja na kuwaelewa hawa vijana wetu.
Nafikiri wakati mwingine tufikirie kama wazazi bila kujalisha huyu ni mtoto wangu au lah.
Pia kwa kuwa hatufahamiani na kufahamu wenzetu au vijana wetu wanapitia changamoto gani, tuepuke sana kuwabeza na kuwakatisha tamaa.
Wewe ni muhenga na una watoto sio sahihi na haki kujaji.
Kama hatutaweza kuwasaidia na kuwainua kwa kuwatia moyo walio chini yetu basi tusiwaumize.
ππππHuyu anatafuta basha π€£
Omba Blue tick kabisa ila usitick oktobaHabari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
Mkuu Nina familia Nina wazazi Nina ndugu wanani angalia inabidi Kuna mambo mengine tufikirie vizuri, Mimi nikisema nishushe matani humu napigwa ban ya maisha hutoniona Tena ila mi na kuwa ni utani tu sema naamini hao hawatavumilia mkuu. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu linaumiza Hilo usinipige naloπ π kumbe umechukulia seriously mkuuπ π