prince alex khalifa
JF-Expert Member
- Aug 20, 2025
- 424
- 498
- Thread starter
-
- #121
Punda hawezi kwenda kwa kuelimishwa tu kwa maneno inahitaji u take action, sa najiuliza nikisema niwajibu kifedhuli watani vumilia? Poa tuseme wanani Tania nikisema niwatanie kupitia kipaji changu cha uchekeshaji watani vumilia?Waelimishe tyuuu mkuu, ndivyo walivyo, wazoeee.
We vishu maisha yako ni vichekesho tosha ahaahahhUchekeshaji unalipa eeh?
Vijana wengi wamejikita huko.
Ndo mana nazuia Hilo shambulizi likipenya tu kwenye ngome yangu, maadui watapata mwanya wakuni dhibiti life is battle tuna struggle for survive ukilegea tu kidogo umekwishaaaNdio ndio mkuu
🙌Ok karibu naamini huyu kwenye picha ni weweView attachment 3447707
Pambania unachokiamini
Hapana mkuu habari lakini, fashion ni uwanja mpana kaka rais wako unaemtegemea na jopo lake Wana watu wa fashion wakina trump usizani wanajivalia tu hapana kaka fashionista wako nyuma yao wapanga mavazi, fashionista anamtegemea modo atangaze nguo zake ili zionekane, umama uko wapi hapo, mbona jezi za simba na yanga msiwashauri maboss wenu wawatumie mamama tu sababu n kazi yao kwa uelewa wko?Kazi za kimama hzi
Asantee na karibuu
Ndugu wa kuzaliwa nao dada angu"Una familia"
Umemaanisha una mke na mtoto/watoto?
Au familia ndugu wa kuzaliwa nao?
@ Evelyn salt dada . Hii kazi , neno Hilo sio sahihi, una chuki binafsi, nikuulize swali dogo tu, unakumbuka mwalimu aliekutwa analiwa na mwanafunzi wake Tena kadai si mara Moja ni michezo yao, je afande wa Zanzibar unakumbuka? Una maanisha utazuia mwanao asiwe polis au mwalimu kisa Kuna watu wa hiyo taaluma walilawitiwa Tena ndo michezo yao?Ila hapa umeongea ukweli, uko sahihi sana.
Labda atuonyeshe comedy zake tuzione kama kweli anajua atapata connection apelekwe cheka tu au kundi lolote afike angalau level za wakina Steve na NdaroUanamitindo haukufai .
Haujakaa kiuanamitindo ,mwili haukuruhusu .
Hata nguo ulizovaa ni midosho.
Asante mkuu nawewe kwenye kazi zako mwenyezi mungu akusimamieKaribu Sana....Na Ikawe Kheri Kwenye Harakati Zako...
Uzuri unajua sana kujieleza na una uwezo mkubwa wa hoja,utafika mbali.@ Evelyn salt dada . Hii kazi , neno Hilo sio sahihi, una chuki binafsi, nikuulize swali dogo tu, unakumbuka mwalimu aliekutwa analiwa na mwanafunzi wake Tena kadai si mara Moja ni michezo yao, je afande wa Zanzibar unakumbuka? Una maanisha utazuia mwanao asiwe polis au mwalimu kisa Kuna watu wa hiyo taaluma walilawitiwa Tena ndo michezo yao?
🙌Hapa bado haujakutana na watakao kutaka uthibitishe uwepo wa Mungu bwashee 😅
Hii ndio jf mkuu vumilia tu
Kuna nini mrembo?
Nimekumbuka mbali sana🤣🤣🤣🤣🤣Hapa bado haujakutana na watakao kutaka uthibitishe uwepo wa Mungu bwashee 😅
Hii ndio jf mkuu vumilia tu
Ni jambo jema kaka nashukuru kwa bahati mbaya sipo kwa ajili ya kufika pale walipo kina ndaro sijui na wengineo, sibezi ila kuachia kazi Kuna utaratibu wake si unavotaka wewe mkuu naheshimu utaratibu kama ambavyo mtu anaejielewa huwezi kula bila kunawaLabda atuonyeshe comedy zake tuzione kama kweli anajua atapata connection apelekwe cheka tu au kundi lolote afike angalau level za wakina Steve na Ndaro
✊✊Amen.....Asante mkuu nawewe kwenye kazi zako mwenyezi mungu akusimamie
Asantee na karibuu
Hiyo team uliyoitaja hapo juuKuna nini mrembo?