Wakuu mniombee nafanyiwa upasuaji kesho

Pole sana
 
Pamoja na ujuaji wa members wa JF walio wengi kujifanya hawaamini uwepo wa Mungu, utashangaa kwenye uzi huu asilimia kubwa comments zinamtaja Mungu. Ndio ujue kwamba, katika mambo yote yapitayo akili, uwezo na nguvu zetu "God is Great"!

Mungu ndiye kimbilio na tumaini pekee kwa magumu tusiyoyaweza.
 
Uwe na amani
 
Pole sana Leejay49, usalama wako una thamani kubwa sana kwetu, hivyo tunakuombea kwa ujumla... Surgery yako itakuwa salama zaidi...
 
Hii jf mnaichukulia kama Familia safi yenye upendo eeeh? Kuna wachawi humu shauri yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…