Hospitali gani kama ni Muhimbili nicheki tuongeze nguvu nina mdogo wangu soecialist wa ENTHabari za jioni wakuu,.
Nimeogopa isije nikashindwa kurudi tena baada ya mda,.
Mungu akipenda kesho nitakua nikifanyiwa upasuaji wa Jicho pamoja na sikio,. Mniombee nirudi nikiwa salama kama mwanzo,..
Sikua napenda kufanya hivi ila ndio last option niliyobakiwa nayo Baada ya kujaribu na kubadilishiwa dawa for almost miezi miwili,. Madaktari wamesugget nifanye hiyo
Mniombee sio tu nitoke salama,. Pia niweze kupona nisike na kuona kama mwanzoπππ
Sio uzi wa salamu ila Mkuu, habari za kitambo kirefu kaka rikiboyPole sana mkuu..! tatizo nini haswa??
In Shaa Allah utakuwa salama salmini. Usiwe na shaka kabisa.Habari za jioni wakuu,.
Nimeogopa isije nikashindwa kurudi tena baada ya mda,.
Mungu akipenda kesho nitakua nikifanyiwa upasuaji wa Jicho pamoja na sikio,. Mniombee nirudi nikiwa salama kama mwanzo,..
Sikua napenda kufanya hivi ila ndio last option niliyobakiwa nayo Baada ya kujaribu na kubadilishiwa dawa for almost miezi miwili,. Madaktari wamesugget nifanye hiyo
Mniombee sio tu nitoke salama,. Pia niweze kupona nisike na kuona kama mwanzoπππ
Na Ndio Maana na Mpenda,,,Huwezi mfeel bad Umpendaye.Don't make her feel bad
Na umpende kweli usije kumuumiza Lee wetuNa Ndio Maana na Mpenda,,,Huwezi mfeel bad Umpendaye.
Yesu akukumbuke,Habari za jioni wakuu,.
Nimeogopa isije nikashindwa kurudi tena baada ya mda,.
Mungu akipenda kesho nitakua nikifanyiwa upasuaji wa Jicho pamoja na sikio,. Mniombee nirudi nikiwa salama kama mwanzo,..
Sikua napenda kufanya hivi ila ndio last option niliyobakiwa nayo Baada ya kujaribu na kubadilishiwa dawa for almost miezi miwili,. Madaktari wamesugget nifanye hiyo
Mniombee sio tu nitoke salama,. Pia niweze kupona nisike na kuona kama mwanzoπππ
πππWazee wa vocha wamelaza mshale speed 160 hata kutoa pole tu ya maneno, sembuse sadaka?!!
-Kaveli-
Pole sana mkuu Lee, you will be fineHabari za jioni wakuu,.
Nimeogopa isije nikashindwa kurudi tena baada ya mda,.
Mungu akipenda kesho nitakua nikifanyiwa upasuaji wa Jicho pamoja na sikio,. Mniombee nirudi nikiwa salama kama mwanzo,..
Sikua napenda kufanya hivi ila ndio last option niliyobakiwa nayo Baada ya kujaribu na kubadilishiwa dawa for almost miezi miwili,. Madaktari wamesugget nifanye hiyo
Mniombee sio tu nitoke salama,. Pia niweze kupona nisike na kuona kama mwanzoπππ
hahaha always done β πRayns unasambaza likes kama virusi vya coronaπ€!
Pole, Mwenyezi Mungu akupe ujasiri,Habari za jioni wakuu,.