nafikiri chimbua hadi leseni zao itakupa uhakika zaidiUpo sahihi boss lkn haya mambo iliufanikishe jambo huwezi ogopa kutake risk
Hapa nimenusa harufu ya utapeli, hapa laZima nikemee Kwa nguvu zoteWw ukishajua hapana pesa ya kudownload inatosha sio kuwaita wenzio mazwazwa
Wekeza tu mkuu, utakua tajiri chapYule aliewekeza Bitcoin kipindi hicho unadhani ni mwenzio ss?