Wakuu mwenye uelewa na hii fursa nasikia mwisho Feb 28 mwezi huu watu wanakuwa matrilionea

Wakuu mwenye uelewa na hii fursa nasikia mwisho Feb 28 mwezi huu watu wanakuwa matrilionea

Ilianza Bitcoin enzi hizo sarafu po chini sana watu na fursa wakaruka nayo... Sasa hivi sarafu haishikiki walioiwahi enzi hizo wanakula kuku kwa mrija.

Ikaja binance nakumbuka 2017 late yake ilikuwa 0.007 kwa coin kwa sasa ipo 500+ usd

KWa sasa naona watu wanatamba na hii #pai, na ni kitu imekuwepo tangu 2019 watu wachimba kimya kimya... Ss nasikia mwisho wa uchimbaji ni mwezi huu wenye wallet zao zilizonona tayari wanaenda kuwa matrilionea.

ANaeijua kiundani hii kitu aongeze nyama tafadhali

View attachment 3226762
Uliza specific question nami nitakujibu!
 
Hapa nimenusa harufu ya utapeli, hapa laZima nikemee Kwa nguvu zote
Hakuna pesa ya ku kudownload,
HAKUNA UTAPELI WOWOTE kwa sababu hakuna anayelipa hata senti 5 kuwa na hizi coins. Ungefahamu maana ya utility kwenye crypto basi ungefahamu ni kwanini KWA SASA hii coin inapatikana for free! Kwa kifupi sana, ukiwa na community ya mamilioni ya watu, miongoni mwenu mnaweza kukubaliana hata Visoda vitumike kama medium of exchange kwenye biashara! Sasa kama community ni kubwa, na biashara kati yenu inafanywa na visoda, automatically kutakuwa na demand ya visoda ili kufanikisha manunuzi, na hatimae visoda hivyo vitaanza kuwa na value wakati hapo kabla waanzilishi walikuwa wanaviokota tu kama inavyoonekana kwa sasa watu "wanaokota tu pi coin"! Hii itafanya hata wale ambao hawakuwahi kupata visoda for free hatimae wapate visoda kwa gharama kwa sababu wanafahamu kwenye community fulani, unaweza kufanya manunuzi kwa kutumia visoda! Biashara ikichangamka, kisoda kile kile ambacho hapo kabla watu waliokota tu, hatimae kitaanza kuwa na thamani ya $0.5, ,mara $1, mara $6 and so on!

Kama haupo kwenye crypto huwezi kunielewa lakini crypto nyingi zilianza zikiwa almost equal to nothing lakini demand ikafanya ziwe ni more than something!
 
Ok, fanya hesabu hii, Tafuta idadi ya watu wote wanaocheza bitcoin, then tafuta walionufaika, then nipe percent yake af ilete hapa, unishawishi nifanye.
Yaani mtu mwenye uwezo wa kununua Bitcoin angalau moja awe na muda wa kufanya huo ufala wa kuwaaminisha watu,kua anaweza ingiza $970,per day with 1% Bitcoin move?😄😆😆
 
Back
Top Bottom