Alpha Blondy
JF-Expert Member
- Oct 6, 2018
- 304
- 440
Niiaribu sim yangu ilidondoka ikafa kabisa, si kioo ilikufa sim, nikaloteza Pi kama 220 hivi, nimeangaika sana kuirudisha account ila iligoma, nilikua sijui kama huu mchongo utakuja kua kweli, na paka sasa sijui kama hu mchongo ni wa kweli, nisubiri wawe ma trilioonea Rohoo iniume vizuri kwa Sim yangu kuaribika, nilikata tamaa ya kuanza upya, maana izo zilizopotea nili mine kama mwaka na nusu.Ndiomaana nimeleta bandiko hum ila bahati mbaya naona wote hum ni weupe kichwani kama mm