KYC verification mwisho ni Feb 28 boss kama hujakamilisha utakuwa umelost coins zakoKwa sasa nina P 17 ila sasa kuna vitu sijakamilisha nasikia hadi namba ya nida inatakiwaView attachment 3226777
jaeni tu tena! halafu mseme Samia anaupiga mwingi! mkifeli utaskia mama tunanyanyaswa tusaidieeeIlianza Bitcoin enzi hizo sarafu po chini sana watu na fursa wakaruka nayo... Sasa hivi sarafu haishikiki walioiwahi enzi hizo wanakula kuku kwa mrija.
Ikaja binance nakumbuka 2017 late yake ilikuwa 0.007 kwa coin kwa sasa ipo 500+ usd
KWa sasa naona watu wanatamba na hii #pai, na ni kitu imekuwepo tangu 2019 watu wachimba kimya kimya... Ss nasikia mwisho wa uchimbaji ni mwezi huu wenye wallet zao zilizonona tayari wanaenda kuwa matrilionea.
ANaeijua kiundani hii kitu aongeze nyama tafadhali
View attachment 3226762
Acha kupotezwa bando lako, unadhani sisi tunaolima tunashindwa ku download pesaNdiomaana nimeleta bandiko hum ila bahati mbaya naona wote hum ni weupe kichwani kama mm
Natakiwa kufanyaje?KYC verification mwisho ni Feb 28 boss kama hujakamilisha utakuwa umelost coins zako
Nilipoteza laki tano. Hii kitu sitaki hata kuisikiaUpo sahihi boss lkn haya mambo iliufanikishe jambo huwezi ogopa kutake risk
Sawa download hiyo pesa uwe tajiriSasa mkuu ukilima ww unataka wote tulime... Mazao Yako Nan atanunua?
Lugha inanipiga chenga mkuu 😁Umesha upload doc zinazotakiwa?
Hamna kaka. Mweupe wewe si wengi wetu tuko vizuri sana na pi. Wewe weka tu, mbona unyama ,weka akiba yako walau nusu na robo siku ya kuvuna tunakua matrilionea. Weka tu mzee. Tuko nawe kiulalo ulaloNdiomaana nimeleta bandiko hum ila bahati mbaya naona wote hum ni weupe kichwani kama mm
Verification status hapo inatick ngap kwenye account yakoView attachment 3226784Lugha inanipiga chenga mkuu 😁
Niweke akiba yangu wapi boss wnguHamna kaka. Mweupe wewe si wengi wetu tuko vizuri sana na pi. Wewe weka tu, mbona unyama ,weka akiba yako walau nusu na robo siku ya kuvuna tunakua matrilionea. Weka tu mzee. Tuko nawe kiulalo ulalo