Wakuu mwenye uelewa na hii fursa nasikia mwisho Feb 28 mwezi huu watu wanakuwa matrilionea

Nmechelewa sana aisee kuna dada anazo kama 300 ndiye alinisanua mwisho mwa mwaka jana nadhani november now ndo ninazo 35 tu.
Kati ya project za alt coins, naona hii itakuja kukaa vizuri.
 
Hahaha nimemuona Mlolongo kacheka kumbe yupogo tu humu.
 
Ona kikazi ingine hii...
Hivi wewe unajua kwamba bidii ni lazima mtu akabebe nyundo eeehhhhh...🤔
Wapo hata wadukuaji wanafanya kazi zao wakiwa vyumbani mwao, lakini wanafanya kwa bidii with highly disciple...🤨
Mkuu Mimi niliweka bandika nipate elim kwa members ambao wapo kule lkn bandiko mkalibadili kwamba navuta watu niwapige.
 
Hii kitu nakumbuka kuna jamaa alileta humu wakati inaanza, nikajiunga. Wengi ambao walikuwa kwenye circle yangu waliishia njiani. Sio wote wenye moyo wa kusubiri.. mimi nilikomaa, nimefanya KYC, kwa sasa nna Pi zaidi ya 1,300
 
Mkuu Mimi jamaa yangu miaka hiyo aliwahi kuniambia issue hiyo naishia kimcheka... Juzi kanionesha kwenye sim wallet nikaona na deadline kwamba wanaelekea kwenye mavuno yani mwamba mpaka kwenye grp la whtsp la mkoa na Kila mkoa unagrp na kiongoz wao. Anakwambia wakikutana huko wanaitana mabilionea wajao
 
Nmechelewa sana aisee kuna dada anazo kama 300 ndiye alinisanua mwisho mwa mwaka jana nadhani november now ndo ninazo 35 tu.
Kati ya project za alt coins, naona hii itakuja kukaa vizuri.
35 ni nyingi sana mkuu kwa jinsi navuoona calculation inapgwa., huo ni mpunga mrefu sana
 
Huyo ananunua wapi??pi bado haijaingia sokoni.

So kama ni kununua au kuuza ni kutoka kwa mtu unaemfaham au kumjua tu.
Sijaelewa vizuri ila kuna mtu nilitaka nimkaribishe P, yeye akawa amefungua account ambayo sio ya kukaribishwa hivyo akawa hawezi kuchimba wakampa option ya kununua p
 
Sijaelewa vizuri ila kuna mtu nilitaka nimkaribishe P, yeye akawa amefungua account ambayo sio ya kukaribishwa hivyo akawa hawezi kuchimba wakampa option ya kununua p
Hiyo ni fake pi netwk
 
35 ni nyingi sana mkuu kwa jinsi navuoona calculation inapgwa., huo ni mpunga mrefu sana
Hizo calculation wanakujaza tu usiamini
Bei yake ya kufkirika ni
Na itakapoingia sokoni sidhani kama itafika $100 per coin
 
Ndiomaana nimeleta bandiko hum ila bahati mbaya naona wote hum ni weupe kichwani kama mm
Hii iko siku nyingi na unaambiwa u-install app ambayo utakuwa unachimba pi kila siku. Ina wafuasi wengi na kila siku utasikia wanasema ''mwezi ujao wanazindua''. Nilii check kwa haraka sana na haya ndiyo mawazo yangu. Nadhani kuna mtu/ watu wenye hiyo app/site wanapata malipo ya matangazo kwa watu ku-click kila siku. Yaani pale unaambiwa kuwa unatakiwa uchimbe sarafu kila siku kwa ku-click, zile clicks zinahesabiwa na wenye matangazo ambao walipa wenye site. Nikipata muda nitafanya research zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…