Wakuu naomba Kazi ya graphics. Kazi zangu na uzoefu nimeambatanisha

Wakuu naomba Kazi ya graphics. Kazi zangu na uzoefu nimeambatanisha

Salaam wakuu. Natumai wote mpo wazima.
View attachment 2198136
Naomba kazi ya Graphic Design kama
• Kudesign logo
• Kudesign business cards
• Kudesign presentation
Yaani kiujumla any design kwa kutumia
• Adobe photoshop
• Adobe Illustrator
Uzoefu wangu ni miaka 2,
Sijafundishwa chuo nimejifunza mwenyewe hivyo sina cheti.

Cheti nilichonacho ni degree ya taaluma ya maendeleo (BA. In Development Studies) Chuo kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM)


View attachment 2198137
FAIDA NAZOWEZA KUTOA
  1. Professional and Creative design
  2. Branding
  3. Graphics design counselling.
  4. Naweza saidia kampuni kuwa na maamuzi sahihi kwenye communication via graphics
  5. Sababu ni self-taught graphic designer nipo naendelea kupush beyond limits it means kazi zangu always zinazidi expectation
  6. Kutokana kuwa na ufahamu wa Maendeleo (Development Insights) naweza saidia kutoa content bora (development-centred) kwa mashirika yenye relations na community development.

Pia, self-taught, inamaanisha unakua unafanya kujitafutia materials (Research) na kuyafanzia kazi (Development) hii inamaanisha niko vizuri kwenye filtering of information, hivyo naweza fanya kazi ya kutafiti taarifa, materials au jambo lolote lile nikalileta kwa usahihi unaoweza hata kufanyiwa practical.

Kwa vile kazi hii unaweza fanya hata ukiwa remote (In home)
Ikiwa ungependa kunipa tenda kulingana na limited funds
Gharama zangu ni hizi kwa wanaotaka kufanya kwa packages za poster.
View attachment 2198138

Naambatanisha kazi zangu hapa
View attachment 2198144View attachment 2198145View attachment 2198146View attachment 2198147View attachment 2198148View attachment 2198149View attachment 2198151View attachment 2198152View attachment 2198153View attachment 2198154View attachment 2198155View attachment 2198156

Kwa whatsapp no yangu. 0764035004 (SMS sababu nina tatizo la deaf – hard of hearing)
Nashukuru sana
Nakaribisha maswali pia.

View attachment 2198142

View attachment 2198150
Nipe namba yako pm
 
CGI- hapa siwezi nipo nimebase na Photoshop na Illustrator.

Unaposema sipo VIZURI KIHIVYO. Naomba ufafanue huenda ukanisaidia kuimprove, maana nilivyoaanza sikua najua vitu vingi mpaka nilipokua naonyweshwa wapi hapajakaa sawa.

Kumbuka ni Self-Taught. So naomba unisaidie unapoona sipo VIZURI ili niimprove.
Nimekubali ulivyomjibu ....hakika uko tayari kujifunza ,,,,, keep moving
 
Freelancer, Upwork?
Nishapiga tatizo bongo PAYPAL na benki zenyewe mziki. Yaani pesa unaiona ila hauwezi kuishika.

Kuhusu freelancing za hapa hapa, via WhatsApp na Instagram.

Sijapata wateja wanaovalue unachofanya utasikia
Nifanyie kwa buku 3k
Logo anataka buku 10k
Poster buku 5.

Wakati kuna vitu vingi kama Designer vinagharimu zaidi ya wanachokulipa.

Bando
Working space (nyumbani nilipo sipo motivated kivile, hua naenda eneo tulivu ambalo linademand ufanye kilichokuleta usepe, nakua motivated)


Ndio maana nimeleta humu naamini wapo wanaoona umuhimu wa Graphics Designer tukafanya kazi.



AHSANTE SANA MKUU
Sites za freelance nyingi wanatumia pioneer bank! So paypal sio kikwazo.
 
Nlitamani nifike hata apo ulipo fika ila sijui ndo na kichwa kigumu
Utaweza tu mkuu.

Kuna njia nyingi za kujifunza.

Mimi nilitumia hii njia.

Nilikua nafungua YouTube natengeneza poster kwa kufuata kila kitu kinavyotengenezwa, kwa lengo la Kujua kazi za kila Tools na kufahamu concept nzima.

Unaweza chukua namba hapo chini ukaniuliza maswali zaidi.
 
Mzee naenda taratibu. Hata bado sijamaster kimoja niruke kingine.

Taratibu, kingine Hapo pa motion inanipa shinda kumbuka nimesipecify nina tatizo la kutosikia.

Mdogo mdogo nitafika hapo, niweze ajiri mtu au kufanya collabo na voice over man.

Shukuran sana.
Samahani sana mkuu nilitoa comment bila kuzingatia vizuri ulichoandika samahani sana.

Lakini kama nilivyosema kwa graphic zako unaweza kuajirika popote pale iwe corporate, NGO au serikali. Cha muhimu kama wengine walivyoshauri ufanye mchakato wa cheti.
 
Back
Top Bottom