stevhinoz
JF-Expert Member
- Jun 15, 2021
- 228
- 509
Mimi nilishiriki pia shindano la Ruge niliona wamesema mchujo ulifanyika kwanza kwa ambao hatukuweka namba za simu tulichujwa kwanza.Shukurani nashukuru umeona, walio serious ni makampuni, na mashirika, logo tu wanatoa million (hapa unapambana) logo yangu ya RUGE MUTAHABA FOUNDATION umeionaje? Nimeshindwa ingia hata Top ten, huenda mtu akanionesha mapungufu next time nikaze.
Kuna Uzi wa PayPal kuomba kuruhusiwa na Serikali kuna vitu vya hapa na pale nilipata nitafanyia KAZI.
Once again shukuran sana KIONGOZI.
NAOMBA USISAHAU KUNISAIDIA OMBI LA KUVIEW LOGO YA RUGE MUTAHABA FOUNDATION HAPO JUU. Unisaidie wapi nafeli.
Ila logo yako ipo poa kwa jicho langu.