Wakuu naomba Kazi ya graphics. Kazi zangu na uzoefu nimeambatanisha

Nipe namba yako pm
 
Nimekubali ulivyomjibu ....hakika uko tayari kujifunza ,,,,, keep moving
 
Sites za freelance nyingi wanatumia pioneer bank! So paypal sio kikwazo.
 
Nlitamani nifike hata apo ulipo fika ila sijui ndo na kichwa kigumu
Utaweza tu mkuu.

Kuna njia nyingi za kujifunza.

Mimi nilitumia hii njia.

Nilikua nafungua YouTube natengeneza poster kwa kufuata kila kitu kinavyotengenezwa, kwa lengo la Kujua kazi za kila Tools na kufahamu concept nzima.

Unaweza chukua namba hapo chini ukaniuliza maswali zaidi.
 
Samahani sana mkuu nilitoa comment bila kuzingatia vizuri ulichoandika samahani sana.

Lakini kama nilivyosema kwa graphic zako unaweza kuajirika popote pale iwe corporate, NGO au serikali. Cha muhimu kama wengine walivyoshauri ufanye mchakato wa cheti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…