Wakuu naomba Kazi ya graphics. Kazi zangu na uzoefu nimeambatanisha

Mkuu unaweza kutengeneza praphic kama hii niliyoattach hapa chini.
Kama jibu ni ndio gharama yake ni kiasi gani?
 
Mkuu unaweza kutengeneza praphic kama hii niliyoattach hapa chini.
Kama jibu ni ndio gharama yake ni kiasi gani?View attachment 2327985

Naweza Boss Gharama zake ni elfu 20 ila kama una picha za hivyo vyote

Gharama yake ni Tsh 15,000

Karibu sana

+255 764 035 004 WhatsApp

Kwa Maongezi zaidi.

Shukurani sana kwa kutufikiria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…