Wakuu naomba Kazi ya graphics. Kazi zangu na uzoefu nimeambatanisha

Wakuu naomba Kazi ya graphics. Kazi zangu na uzoefu nimeambatanisha

Nimevutiwa na kazi zako, hakika uko vizuri na kama una mtaji unaweza kutoka kwa kujiajiri. Pia waajiri ambao wanataka watu makini wanaweza kukuchukua.
 
CGI- hapa siwezi nipo nimebase na Photoshop na Illustrator.

Unaposema sipo VIZURI KIHIVYO. Naomba ufafanue huenda ukanisaidia kuimprove, maana nilivyoaanza sikua najua vitu vingi mpaka nilipokua naonyweshwa wapi hapajakaa sawa.

Kumbuka ni Self-Taught. So naomba unisaidie unapoona sipo VIZURI ili niimprove.
Unatumia kompyuta ku regenerate vyakwako.

Kwa.mfano hiyo Moja 1 labour day, picha za watu, nk
 
Unatumia kompyuta ku regenerate vyakwako.

Kwa.mfano hiyo Moja 1 labour day, picha za watu, nk
Boss naelewa maana ya CGI lakini nilipanga kua specialized with adobe Photoshop, Illustrator na InDesign.

Niweze kua mtaalamu wa still pictures best in Tanzania.

Papara ya vitu vingi naweza nismaster hata kimoja.

Hii nilichagua ili siku nikifika ile level ya expert niwe hata naweza piga kazi ya senior Designer, supervisor, tutor na kuweza kusimamia wengine kuwaelekeza tuweze fanya taifa la mpangilio unaovutia.

Ukiona still picture za Bongo hapa hazijafika ile level kabisa ni chache.

Hasa wakijaribu kufanya photo manipulation
Bila kupepesa macho utasema hapa ni Photoshop.

Shukuran sana hope umenielewa.

Adobe ina zaidi ya 10 software muhimu ujue unapenda nini?

Kuna wa After Effect na Premier Pro
Kuna wa Adobe InDesign tu watu wanatutolea majarida ya ukweli.

Kuna wa Adobe animate, adobe xd, adobe Dreamwave.

Tujaribu kuwa na specialist japo wa baadhi hapa Bongo.
 
Inabidi kuwe na baraza la kutambua wataalamu pia wa fani nyingine.
Bongo huwa hatuthamini professionalism thats why ni rahisi kumgeuza professa kuwa chawa wa CCM.

Ni rahisi kumlipa Steve Nyerere million 15 ila ni ngumu kumlipa professional public speaker million 3 tu kwa kitu bora kuliko afanyacho Steve Nyerere.
 
Yaani ni hatari. Nchi inakua kama uongozi wa shule za advance.

No plan, no vision upigaji tu.

Mfano Boss ule uwanja wa taifa kuna namna yale mabango ya sponsor ya aweza wekwa yakavutia kama ulaya vile hata kama hayana umeme.
Cha ajabu wanafanya kwa mazoea
 
Mabango yanategewa stand za mbao nyuma😂😂😂 hivi zile led panels kwani ni billion ngapi washindwe kuweka mle miaka yote hio.
 
Mabango yanategewa stand za mbao nyuma😂😂😂 hivi zile led panels kwani ni billion ngapi washindwe kuweka mle miaka yote hio.
Asee kumbe inakera, why kama taifa kwenye soka tusiwekeze miundombinu ili kenya ikiwa na riadha sisi tujisifie na Ligi moja matata Africa.

Artificial grass kama za viwanja vya epl ni billion 2 na zinadumu miaka kumi kwenye ubora why wasitoe hizo kwa viwanja vya majiji. Wape watu wa design watoe interior design za uwanja.

Kapeti zilizojaa kariakoo why wasinunue wamalizie hapo nyuma ya goli, yale mastari ya kukimbia kimbia ya kazi gani?
 
Punguza ujuaji.
Comment vizuri then pita hivi.

Kama ni wa industry yako na unahisi kazingua kitu basi Mfate inbox mkadiscuss, Kutuanbia hapa "He is not advanced" una maanisha nini?

Unataka wateja tujue kuwa jamaa hajui and he is not advanced..?!!

#YNWA
achana na watu kama hawa, wanakuwaga waaribifu wa mipango, Witchez.
 
Back
Top Bottom