Wakuu naomba mnieleweshe concept ya Mungu katika ukristo

soma vizuri bible ni bible hiohio Ina verse zinamanisha kua Jesus yuko kitambo sana huko mbinguni na alihusika kwenye uumbaji wa hii universel. pia ni God .! alieandika ndo mzinguaji bhana mafumbo kibao kwaio kinacho tokea kila mtu anatafsiri kivyake
 
Ivi kwenye ufunuo yohana alimuona nani yule alikua uso wake unawaka kama jua na macho yatoa miale yamoto na ulimi kama panga likatalo kuwili.?
 
wanamgawa Mungu kwenye utatu kama tairi za bajaji.
 
ni kama ilvyo serikali, na mihimili yake mitatu
Mungu naye ni ana mihimili mitatu katika utendaji kazi wake na kila mhimili una jukumu lake-Baba ,Mwana na Roho mtakatifu
 

1 Yoh 5:8​

Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja.

John 10:30

I and the Father are one.”
 
Kiuhalisia hakuna Mungu ila vyoyote utakavyofikiri kuhusu hii dhana ya Mungu upo sawa kabisa, kutokana na mapokeo yako na athari za ukoloni kwenye kizazi chako .
 
Umeongea utumbo
 
MTU YOYOTE AKIKUAMBIA HAKUNA MUNGU AU MUNGU ANAZO NAFSI 3 AU YESU ALI SULIBIWA KWA SABABU YA DHAMBI YA ASILI... JUA TU HUYO NI MPUMBAVU TENA NI SHETANI IBILISI TENA NI MUONGO
 
Quran

5:17 - Hakika wamekufuru
walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu.
Sema: Ni nani mwenye kumiliki chochote mbele ya Mwenyezi Mungu ikiwa Yeye angetaka kumuangamiza Masihi mwana wa Maryamu, na mama yake, na wote waliomo katika ardhi? Na mamlaka ya mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake ni vya Mwenyezi Mungu. Huumba apendavyo na Mwenyezi Mungu anao uweza juu ya kila kitu.

5:72 Hakika wamekufuru walio sema Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu, na hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi, kwani anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharamishia Pepo, na mahala pake ni Motoni. Na walio dhulumu hawatakuwa na wa kuwanusuru.

5:73 Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru.

5:74 - Je! Hawatubu kwa Mwenyezi Mungu na wakamwomba msamaha?
Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu.

5:75 - Masihi mwana wa Maryam si chochote ila ni Mtume, Wamekwisha pita Mitume kabla yake. Na mama yake ni mwanamke mkweli.
Wote wawili walikuwa wakila chakula. Angalia jinsi tunavyo wabainishia alama zetu, kisha angalia vipi wanavyo zigeuza.
 
Hakuna Mungu acha kupoteza muda kwenye habari za uwongo na uzushi zilizopo ktk dini
 
MTU YOYOTE AKIKUAMBIA HAKUNA MUNGU AU MUNGU ANAZO NAFSI 3 AU YESU ALI SULIBIWA KWA SABABU YA DHAMBI YA ASILI... JUA TU HUYO NI MPUMBAVU TENA NI SHETANI IBILISI TENA NI MUONGO
Usitukane watu kwa mtazamo wa dini yako
Hii ndio shida kubwa sana waliyonao Waislam dhidi ya imani zingine
 
Usitukane watu kwa mtazamo wa dini yako
Hii ndio shida kubwa sana waliyonao Waislam dhidi ya imani zingine
Nani muisiharamu ? Uislamu ni dini ya uongo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…