Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Naombeni msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata ya mbezi mwisho kama mitano tu anisaidie
Google naona haipoUnataka kumdanganya nani,
Ingia google
Mjumbe wa huu mtaa anaitwa nani mkuuLuis,
Mjumbe wa huu mtaa wa uswizi anaitwa nani mkuuUswizi, mnarani, Dubai, makaburini, luxury
looohMjumbe wa huu mtaa anaitwa nani mkuu
Nisaidie mkuuloooh
Andika masele cha pombeMjumbe wa huu mtaa wa uswizi anaitwa nani mkuu
Sio kweli mkuu masele na ujumbe wapi na wapiAndika masele cha pombe
Mitaa ya hivi karibuni mkuuHebu eleza nini shida yako mpaka unataka majina ya wajumbe wasiyo kuhusu, au nikupe jina la mjumbe wangu wa Chamazi?
Mbezi LuisNaombeni msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata ya mbezi mwisho kama mitano tu anisaidie
Amini kwamba, mtaa wake ni UswiziSio kweli mkuu masele na ujumbe wapi na wapi
Heheheheheheheheheheheheheheheheloooh