Wakuu naomba msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata mbezi mwisho kama mitano tu

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Naombeni msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata ya mbezi mwisho kama mitano tu anisaidie
 
Unataka kumdanganya nani,
Ingia google
 
Reactions: EEX
Uswizi, mnarani, Dubai, makaburini, luxury
 
Wakuu anaejua anisaidie mjumbe na kata ya mtaa wa mbezi wowote Kuna 10000tzs ya usumbufu
 
Kata ya mbezi mitaa yake ya kiutawala.
.1. Mbezi center,
.2. Mbezi makabe
.3. Mbezi Luis
.4. Mbezi msumi
.5 Msumi A
.6. Msumi B
.7. Mpigi.
.Sasa sijui kama ulikua unamaanisha hii, au unamaanisha hii mitaa iliyowekewa vibao hivi karibuni.
 
Hebu eleza nini shida yako mpaka unataka majina ya wajumbe wasiyo kuhusu, au nikupe jina la mjumbe wangu wa Chamazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…