Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
waandishi wa habari waliosomea kazi hii walishaacha kazi siku nyingi maana hawalipwiHusasan wa Media za hapa Tanzania !!.
Maana ni aibu aibu aibu aibu aibuu narudia ni AIBUUUUU .
Hivi kuna vyuo binafundisha hii taaluma? Au ni ujanjaujanja tu wa MTU, anafika Clouds , ana sauti ya kutangaza, basi anaitwa mwandishi wa habari?.
Yaan tuseme, Zembwela akae kumuhoji LISSU?? Hapa Zembwela ni Mwandishi wa habari au ??.
View attachment 3203664