Wakuu natafuta dawa ya kung'arisha meno

Wakuu natafuta dawa ya kung'arisha meno

Huko mnakoelekea mtakuja kuuliza dawa za kuongeza makalio na mahips
 
Kafanye teeth whitening bwana mdogo ukija town darisalade mamanzi watakuwa wanakushangaa tu na hizo gold slugs zako

Gold Slugs(Dj Khaled ft Chris Brown,Fetty Wap) unalijua hili pini?
Kwanini nisilimanye ariff?!Pini la kibingwa sana ilo..ila sidhani kama Fetty wap yupo!!Kuna August Alsina
 
Back
Top Bottom