Wakuu naumia sana, naombeni msaada wa ushauri

Na ukute demu alikuwa ashamchoka
Hapa ndio msingi wa tatizo ulipo.

Kitu ambacho wanaume wengi hatukijui ni kwamba wanawake hua wanachoka/wanakinai sana mapenzi, hasa akishajua huna la maana. Mfano unapoanza nae mahusiano hua anakua na matarajio makubwa ila siku zinavyoenda anaanza kugundua huna ishu na hapo anaanza kupoteza mzuka na wewe. Pia kumbuka wanawake hasa wenye kamvuto wanatongozwa sana hii pia huchangia. Sasa ikitokea umetishia kumuacha kipindi kama hiki baasi nayeye anakamatia hapo hapoo..!
 
Maneno yote ya nini unaeza usimjibu hata moja...unafanya kudelete kila kitu chake unatulia afu huoneshi kinyongo, hautii huruma, yaani unakaza ile nothing has happened atafurahia show
Nimepata kitu hapa
 
Uko kote mbali kwa nini, nauli mpaka Tanga 20k, mtaalam anakula 50k na kabla hujafika msata simu zishaanza kulia unaombwa msamaha, vitu vidogo sana hivi
 
Shika sana hiyo...itakusaidia mbeleni
 
Shika sana hiyo...itakusaidia mbeleni
Hii nimeishika tangu utoto wangu na imeshanisaidia sana kuepuka matatizo yasiyo ya lazima.

Maana kiukweli mwanamke akishakukinai ni lazima atakupiga chini tu, hata ufanye nini! Na mimi nimejifunza siku hizi nikishaona dalili tu za kukinaiwa namuwahi, nachapa lapa kwa spidi kali sana..! Ikitokea akaniwahi yeye basi nakua mpole sitaki mambo mengi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hisia za mapenzi kwa kiasi kikubwa hubebwa na nyege!,ukiwa na nyege kali hautaacha kumuwaza unaempenda sasa kazitoe utamsahau yani kikubwa hakikisha haukai na upwiru usikaenao...!
Alaaa!
 
Uko kote mbali kwa nini, nauli mpaka Tanga 20k, mtaalam anakula 50k na kabla hujafika msata simu zishaanza kulia unaombwa msamaha, vitu vidogo sana hivi
Hayo mambo hayapo bali ni utapeli tu kwa watu wenye fikra fupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…