scot mcomic
JF-Expert Member
- Apr 17, 2021
- 234
- 383
- Thread starter
- #81
Na kweli unawez mshaur mtu kushoto akaenda kuliaMapenzi hayashauriki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli unawez mshaur mtu kushoto akaenda kuliaMapenzi hayashauriki
Mkuu ww utakuw chaputaYaani me nikiona mtu yoyote anateseka na mapenzi namuona mzembe sanaaaa
Duniani tuko watu bilion 7+ utakubalije uteseke kwa sabab ya mtu mmoja?
Hapa ndio msingi wa tatizo ulipo.Na ukute demu alikuwa ashamchoka
Case closed... you know?Unakuaje na mwanamke mmoja babu miliki pisi 3
View attachment 2950294
Hukuhuku kukatishw tamaa hukuhuku kutiwa moyo jf bwanNa ukute demu alikuwa ashamchoka
Pole kwake JamaniAlikua mzur huyo, sema walikuja kumuunga gridi ya taifa
Nimepata kitu hapaManeno yote ya nini unaeza usimjibu hata moja...unafanya kudelete kila kitu chake unatulia afu huoneshi kinyongo, hautii huruma, yaani unakaza ile nothing has happened atafurahia show
Uko kote mbali kwa nini, nauli mpaka Tanga 20k, mtaalam anakula 50k na kabla hujafika msata simu zishaanza kulia unaombwa msamaha, vitu vidogo sana hiviNi simple sana, badili mtindo wa kunyoa, badili marashi unayotumia, badili uvaaji wako. Alafu endelea na maisha mengine usihangaike na huyo dada tena.
wanawake wanagundua vitu vidogo vidogo haraka sana.
Kama ukitaka kuwa mtu wa propaganda kama muenezi, tafuta mdada ambae ni rafiki wa huyo dada muulize ukiwa serious akuambie pete nzuri ya uchumba au kagauni ka engagement. Alafu umwambie asimwambie huyo demu. Ila na wewe usimwambie unataka kumvalisha nani.
Komoaneni tu Mkuu, mpaka aokote hizo njiti alizomwaga 😂😂
Hpn mkuu nina mke 1 na mtoto mmoja ila amini nakwambia ktk maisha yng sijawahi kuteseka na mapenz.Mkuu ww utakuw chaputa
hakuna watu wanajua kuigiza km wanawake usikute bibie anamrusha tu rohoUnamuona anachat na majamaa wengine? Kivipi?.unachungulia simu yake? au kazi yenu mnafanya muda wote mpo benchi moja...
hii ndio dawaTafuta mwanamke hapo hapo uwe unamtoa toa lunch jaribu hii akigoma kurudi niambie nikupe nyingine
Shika sana hiyo...itakusaidia mbeleniHapa ndio msingi wa tatizo ulipo.
Kitu ambacho wanaume wengi hatukijui ni kwamba wanawake hua wanachoka/wanakinai sana mapenzi, hasa akishajua huna la maana. Mfano unapoanza nae mahusiano hua anakua na matarajio makubwa ila siku zinavyoenda anaanza kugundua huna ishu na hapo anaanza kupoteza mzuka na wewe. Pia kumbuka wanawake hasa wenye kamvuto wanatongozwa sana hii pia huchangia. Sasa ikitokea umetishia kumuacha kipindi kama hiki baasi nayeye anakamatia hapo hapoo..!
Nothing is real seriousHukuhuku kukatishw tamaa hukuhuku kutiwa moyo jf bwan
Hii nimeishika tangu utoto wangu na imeshanisaidia sana kuepuka matatizo yasiyo ya lazima.Shika sana hiyo...itakusaidia mbeleni
Umri wako ni miaka mingapi mpaka sasa!Havishuki mkuu ndo shida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dem ashajua huchomoi kwake ndo maana kasema poa maana anajua utarudi tu.
Dem akijua unaumia kwa ajili yake dadeki hamna rangi utaacha ona.
Pole mkuu bila shaka utateseka sana hapo kazini, na hivi unaumia ukimuona anaenjoy na vijeba wengine dadeki utasaga meno we jamaa kama nakuona unavolilia vyoo vya ofisi [emoji23][emoji23].
Alaaa!hisia za mapenzi kwa kiasi kikubwa hubebwa na nyege!,ukiwa na nyege kali hautaacha kumuwaza unaempenda sasa kazitoe utamsahau yani kikubwa hakikisha haukai na upwiru usikaenao...!
Hayo mambo hayapo bali ni utapeli tu kwa watu wenye fikra fupiUko kote mbali kwa nini, nauli mpaka Tanga 20k, mtaalam anakula 50k na kabla hujafika msata simu zishaanza kulia unaombwa msamaha, vitu vidogo sana hivi