HahahahNina uhakika 100% ingekua ni kweli ulichokiandika,ungeshapata solution pale pale
ndani ya 5 sec baada ya kuona acc inasoma hiyo amount,si kwa life hili eti mtu aone noti
njiani imedondoka aite majirani aulize nani kadondosha hiii hela wapendwa ktk bwana,No braza Not for Tanzanian...
Swali la msingi kabla ya kuamua Ni je hio pesa Ni yako au sio yako?!Naomba ushauri tu, leo nimekuta Mil 300 zimo kwenye account yangu ya Benki - Sijui zilikotoka sasa naomba ushauri kwenu je
1. Ni report bank yangu kwamba kuna mzigo sijui ulikotoka
2. Nikae kimya kwanza kusikilizia
3. Nianze kuzitumbua
4. Nizihamishe fasta kwenye acc nyingine
5. Nizitoe zote nikae nazo home, sababu wanaweza ku-trace kama nikiweka kwenye acc yangu nyingine?
........
wazoefu naombeni ushauri wenu - nimedata hata kazi nashindwa kufanya - Jina la Benki naliweka kapuni kwa sasa.
Nakubali nakubali..ilibidi awe Hyatt mjini anapata lunch na warembo sio?..Huo muda unapoteza hapa ungekuwa na Sanchoka sasahivi unakula maisha
Hiyo hela as of now ni yangu, sababu imo ndani ya ACC yangu.Swali la msingi kabla ya kuamua Ni je hio pesa Ni yako au sio yako?!
Ishu Ni kwamba anaitoaje benkiKanunue viwanja wakikudai unawakabidhi viwanja
HahaahHuo muda unapoteza hapa ungekuwa na Sanchoka sasahivi unakula maisha
Ni mwalimu wa shule ya awali huko Ushirombo! Angekuwa ofisi za halmashauri angekuwa kishatenda yake.Unafanya kazi ofisi gani ya umma... Lazima utakuwa ni mfanyakazi wa serekali
Transfer kwa mwenye kiwanjaIshu Ni kwamba anaitoaje benki
That doesn't make it yours, yako Ni Ile ambayo unaweza kujustify umeipataje.Hiyo hela as of now ni yangu, sababu imo ndani ya ACC yangu.
Siyo jambo jipya kutokea hivyo kwenye akaunti za watu. Kisheria hizo pesa siyo zako na unapaswa kuripoti benki (kwa meneja wa benki). Hata hivyo unaweza ukakaa kimya kana kwamba hujui kilichotokea na wala usichukue ili uone kitakachoendelea. Kuna watu kadhaa waliwahi kuingiziwa pesa nyingi zaidi ya hizo kwenye akaunti zao na watu wasiojulikana. Baada miezi kadhaa walisakwa na kukamatwa. Sasa jamaa yangu ambaye aliingiziwa milioni zaidi ya mia nane hukuambukizwa kwa kuwa alikwisharipoti kwa meneja na hakuzichukua hadi wakati huo.Hiyo hela as of now ni yangu, sababu imo ndani ya ACC yangu.
Hapana huko ni kula, kunywa, shopping hadi Ml 300 iishe tunarudi nyumbani.Rafiki hakutakuwa na kuzini huko?
Rafiki yaani ule pesa ya mwanaume halafu upige nae picha basi?!Hapana huko ni kula, kunywa, shopping hadi Ml 300 iishe tunarudi nyumbani.